Ulitaka baba yako aabudiwe?amejua lini?
kawapigisha watu deki, nyumbu washawahi kumuabudu kama Mungu
leo anaongea haya??
Sasa kwanini aligombea uraisii kwa tume hiii
Bila kugombea udhaifu huu ungejidhihirisha vipi?Sasa kwanini aligombea uraisii kwa tume hiii
Ulitaka baba yako aabudiwe?
Sasa kwanini aligombea uraisii kwa tume hiii
Mkuu kwenye uchaguzi wa 2015 chadema walishinda majimbo 34 swali LA kujiuliza,hayo majimbo 34 walishinda kwa time gani ya uchaguzi?Hapo ndipo watu tunajiuliza hivi hawa viongozi wa Chadema wana akili timamu kweli? unaingia kwenye uchaguzi unaojua kuwa kwa vyovyote vile utashindwa tu
Pumbaamejua lini?
kawapigisha watu deki, nyumbu washawahi kumuabudu kama Mungu
leo anaongea haya??
Hata magufuli akihamia chadema leo hii ndo atayaona makosa anayowafanyia wapinzani.He was there with all powers to change not only the software but also the hardware. He did nothing. Once powerless, he is now complaining. ..and chatterboxes-cum-wildebeests are thumbing up! Very strange.
Sasa kaanza kuongea mambo ya msingi sana kuhusu uchaguzi.
Kama tume sio huru wabunge wa chadema waliwezaje kushinda chaguzi na kuwa wabunge? Mfano akina mbowe,sugu,godbless Lema ,Msigwa,MDEE ,MNYIKA nk waliwezaje kuwa wabunge kama tume sio huru? hizo ni porojo baada ya kushindwa