Edward Lowassa: Pasipo Tume Huru ya Uchaguzi, CCM itaendelea kutangazwa mshindi kila siku

Daimler

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
556
973
IMG_8560.JPG

IMG_8557.JPG

IMG_8562.JPG
 
He was there with all powers to change not only the software but also the hardware. He did nothing. Once powerless, he is now complaining. ..and chatterboxes-cum-wildebeests are thumbing up! Very strange.
 
Naona Viongozi wengi wa CHADEMA wamepamba moto. Wote wanaongelea juu ya Tume Huru ya Uchaguzi ama kususia uchaguzi.
 
Hapo ndipo watu tunajiuliza hivi hawa viongozi wa Chadema wana akili timamu kweli? unaingia kwenye uchaguzi unaojua kuwa kwa vyovyote vile utashindwa tu
Mkuu kwenye uchaguzi wa 2015 chadema walishinda majimbo 34 swali LA kujiuliza,hayo majimbo 34 walishinda kwa time gani ya uchaguzi?
Tatizo kubwa LA upinzani wa Tanzania ni kupinga kila kitu wakati wananchi wanaona kitu serikali inafanya.
Hiyo moja lakini pili,viongozi wenu wanaohamia ccm wanazidi kuwaumbua kwa msimamp yenu ya kichama kwamba mbunge su diwani hawapaswi kuzungumza ns mawaziri au wakuu wa wilaya au mikoa au viongozi wa serikali,sasa unapoingia kwenye uchaguzi wananchi unawahaidi mini ikiwa hutakuwa na ushirikiano na watawala? Hapo mnapokosea.
 
Kama tume sio huru wabunge wa chadema waliwezaje kushinda chaguzi na kuwa wabunge? Mfano akina mbowe,sugu,godbless Lema ,Msigwa,MDEE ,MNYIKA nk waliwezaje kuwa wabunge kama tume sio huru? hizo ni porojo baada ya kushindwa
 
He was there with all powers to change not only the software but also the hardware. He did nothing. Once powerless, he is now complaining. ..and chatterboxes-cum-wildebeests are thumbing up! Very strange.
Hata magufuli akihamia chadema leo hii ndo atayaona makosa anayowafanyia wapinzani.
 
focus ya vyama vya upinzani ni lazima iwe kwenye tume huru ,bila ya tume huru 2020 viti vya ubunge vya upinzani havitazidi 15 na mkuu atashinda kwa asilimia 96.5
 
Kama tume sio huru wabunge wa chadema waliwezaje kushinda chaguzi na kuwa wabunge? Mfano akina mbowe,sugu,godbless Lema ,Msigwa,MDEE ,MNYIKA nk waliwezaje kuwa wabunge kama tume sio huru? hizo ni porojo baada ya kushindwa

Hao wote walishinda ubunge sio kwa kuwa tume ni huru bali nguvu ya ziada ilitumika.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom