Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,822
- 156,966
inaonyesha wewe ndiye mzazi wa manyumbu yoteamejua lini?
kawapigisha watu deki, nyumbu washawahi kumuabudu kama Mungu
leo anaongea haya??
inaonyesha wewe ndiye mzazi wa manyumbu yoteamejua lini?
kawapigisha watu deki, nyumbu washawahi kumuabudu kama Mungu
leo anaongea haya??
Hiyo nguvu imeisha?Hao wote walishinda ubunge sio kwa kuwa tume ni huru bali nguvu ya ziada ilitumika.
KITAMBO SANA HII,
Hakuna cha kaanza wala kamalizia. Haya mambo huwa yanakumbukwa mara uchaguzi unapoisha. Wakati watu wakiwa na uchungu. Siku mbili tatu zikiisha utasikia 2020 ndiyo mwisha wa CCM. Au hata kama kuna uchaguzi mwibgine mdogo utaanza kuona picha za mafuriko ya mikutano ya wapinzani zikionyeshwa kila sehemu huku wakijigamba kiama cha CCM kimefika. Mara ukija uchaguzi ubabe ukitumika wanakumbuka tena tume! Vicious circle inaendelea...Sasa kaanza kuongea mambo ya msingi sana kuhusu uchaguzi.
Labda walitaka washinde majimbo yote, right?Kama tume sio huru wabunge wa chadema waliwezaje kushinda chaguzi na kuwa wabunge? Mfano akina mbowe,sugu,godbless Lema ,Msigwa,MDEE ,MNYIKA nk waliwezaje kuwa wabunge kama tume sio huru? hizo ni porojo baada ya kushindwa
Hiyo nguvu imeisha?
kipindi walichoshinda wao wasimamizi wa uchaguzi hawakuwa hawa makada wa ccm walioshindwa kura za maoni.Kama tume sio huru wabunge wa chadema waliwezaje kushinda chaguzi na kuwa wabunge? Mfano akina mbowe,sugu,godbless Lema ,Msigwa,MDEE ,MNYIKA nk waliwezaje kuwa wabunge kama tume sio huru? hizo ni porojo baada ya kushindwa
Nyie mlipigishwa deki ni Obama....amejua lini?
kawapigisha watu deki, nyumbu washawahi kumuabudu kama Mungu
leo anaongea haya??
Unachangia kwa mihemko zaidi kiasi kwamba fikira nyumbulifu zinabaki nje kabisa na jirani ya mishipa yako!!Mkuu kwenye uchaguzi wa 2015 chadema walishinda majimbo 34 swali LA kujiuliza,hayo majimbo 34 walishinda kwa time gani ya uchaguzi?
Tatizo kubwa LA upinzani wa Tanzania ni kupinga kila kitu wakati wananchi wanaona kitu serikali inafanya.
Hiyo moja lakini pili,viongozi wenu wanaohamia ccm wanazidi kuwaumbua kwa msimamp yenu ya kichama kwamba mbunge su diwani hawapaswi kuzungumza ns mawaziri au wakuu wa wilaya au mikoa au viongozi wa serikali,sasa unapoingia kwenye uchaguzi wananchi unawahaidi mini ikiwa hutakuwa na ushirikiano na watawala? Hapo mnapokosea.
Hata walioko kwenye nafasi za uongozi kwa sasa wanapaswa walitumie hili kama somo.He was there with all powers to change not only the software but also the hardware. He did nothing. Once powerless, he is now complaining. ..and chatterboxes-cum-wildebeests are thumbing up! Very strange.
inaonyesha wewe ndiye mzazi wa manyumbu yote
Mimi naona wana akili kuliko wewe wasingeingia tungejuaje? Kwa kuhisi tu.Hapo ndipo watu tunajiuliza hivi hawa viongozi wa Chadema wana akili timamu kweli? unaingia kwenye uchaguzi unaojua kuwa kwa vyovyote vile utashindwa tu