gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,045
Mjinga wewe ungejikita kwenye hoja yake ungepungukiwa nini?amejua lini?
kawapigisha watu deki, nyumbu washawahi kumuabudu kama Mungu
leo anaongea haya??
Mjinga wewe ungejikita kwenye hoja yake ungepungukiwa nini?amejua lini?
kawapigisha watu deki, nyumbu washawahi kumuabudu kama Mungu
leo anaongea haya??
Time huru siyo kwa ajili ya wapinzani, bali ni kwa ajili ya wananchi wote kwa kuzingatia haki ya kuchagua au kuchaguliwa kiongozi.Wapinzani ndio wanaihitaji zaidi Tume huru kuliko CCM!
Mjinga wewe ungejikita kwenye hoja yake ungepungukiwa nini?