Mungi
JF Gold Member
- Sep 23, 2010
- 16,975
- 9,580
Mkuu, nitabirie ubunge wa kuchaguliwa Jimbo la Rorya.
Unagombea kupitia chama gani mkuu?
Kama utagombea kupitia ccm nakutabiria kuwa utakuwa mshindi wa nne!
Mkuu, nitabirie ubunge wa kuchaguliwa Jimbo la Rorya.
Wabongo bana, kazi kusubiria habari za siasa na maisha bora bila kufanya kazi kwa bidii! Tuchape kazi wakati tukisubiria, si domo tupu!This man, fear him, hakurupuki, hawezi kuongelea Dowans wkt bado hawajalipwa/so halijaisha, anajipanga, Mzee 6 keshapoteza uelekeo, huku EL mara Maembe anaovertake inabidi ashtuke, wakati anajipanga EL ndo anachomoka and not necessarly him anaweza kuwa swahiba wake, Maembe knows for sure kwamba this man is a threat. Subirini ngoma inogile inakuja. Nasisi watanzania tuache kuandika na kusoma habari kama misahafu.
Anachokisisitiza ni kwamba yeye Jk hawakufahamiana barabarani. Sijui kama aliyapima haya maneno yake.
No one is perfect but Lowassa is the leader.Tangu ajiuzulu ni kama vile serekali imelala ni porojo tu,ni mtu ambaye huwa anakaa nakuangalia tatizo na kujaribu kunitatua na sio kulifumbia macho
mbona unaonekana unaakili sana sasa unafanya nn CCM umechelewa kujivua gamba!EL Jembe ila wasiwasi wangu ni kwamba alipigwa mkwala masaa kadhaa kabla ya mkutano wake na waadishi...
Naomba msaada wenu: Nani msemaji mkuu wa CCM anijibu haya?
1: Je CCM bara na Visiwani bado chama kimoja? Maana wenzao kule Zenj wameungana soon watatangaza ndoa takatifu na CUF.
2: Je uchaguzi wa Mwenyekiti wa UVCCM utafanyika lini maana nafasi iko wazi kisa jamaa aligushi umri wa kuzaliwa.
3: Mwenyekiti alitupa siku 90 mkutano wa NEC utafanyika mbona sijasikia lolote?
4: Je kale kawimbo ka mapacha watatu kamefikia ubeti wa ngapi?
5: Kama tungeulizwa sisi wanachama wenu kuwa matumizi ya uchaguzi wa Igunga ilikuwa Sh ngapi na imetoka kwenye account gani?
6: Je kama chama mna mtizamo gani kwa waziri wa Nishati ambaye ni mwanachama ila ametuahaidi umeme kuwa wa uakika mwishoni mwa Sept ila mpaka sahv bado hakuna NSSF wala AGRECO wala Symbions walioweza kutimiza malengo.
7: Mtazamo wa Chama juu ya haya... CHC, UDA, Jairo...
Natanguliza Shukrani......Mimi ni mwanachama wa CCM...