Edward Lowassa ni mwanamikakati au mwanasanaa?

Edward Lowassa ni mwanamikakati au mwanasanaa?

Baadhi ya wanasiasa ni wanafiki sana.
Kama wapi? Kuanzisha mahakama ya mafisadi na kukataa kufukua makaburi hiyo inaitwaje? Hivi donor anapokuwa omba omba hiyo inaitwaje?

Ukiona topic kama hizi ujue kuna jambo linataka lisijadiliwe

Mkuu tuliambiwa pesa za std gauge za ndani na nje zzzipo!

Tunakwenda Turkey kuomba nini?
 
Yea hata ushindi wa ccm unatokana na nguvu ya raisi sio maamuz ya raia hiyo ndo katiba inavyimtaka kuwa nguvu nyingi.



Kwa nini usimalizie na lugha moja tu?
Kama hiyo ni hoja kwa nini wapinzani kila Uchaguzi wanajitokeza kugombea?

Washauri wasusie uchaguzi badala ya kupoteza muda na pesa za chama kwa suala ambalo wanafahamu hawawezi kushinda.
 
Kama hiyo ni hoja kwa nini wapinzani kila Uchaguzi wanajitokeza kugombea?

Washauri wasusie uchaguzi badala ya kupoteza muda na pesa za chama kwa suala ambalo wanafahamu hawawezi kushinda.
pesa!! zile za std gauge ndani na nje ziko wapi?
 
Kwenye maandiko matakatifu yanaonyesha kuwa Sauli aliendelea kumtesa Daudi kwa mrefu na hata kutaka kumua kwa mkuki wana wa israeli waliteswa miaka 400 saa ya Mungu ilipofika Daudi kawa mfalme na wana wa israeli wakatoka misri kwa kishindo hivyo saa ya Mungu ikifika watanzania watatoka misri kwa kishindo kwenda nchi ya ahadi kishindo
Ndoto za mchana pia ni ndoto!

Hizi ni fikra za utopia.
 
Ila sidhani kama kuna mwanasiasa mnafiki hapa nchini kama mukulu sidhani kama nshamuona kabla sidhani kama nitamwona tena hadi kufa kwangu.pyuuu
Ni haki yako kikatiba kuwa na fikra za aina hiyo.
 
Mikakati gani ya muda mfupi na mrefu alifanya na ikafanikiwa?

Kwa hiyo Lowassa ni mwanamikakati?
Ni kweli kuwa ni mzuri sana ktk mikakati pia ni mwanasiasa.
Mkakati uliofanyika na umefanikiwa lkn watu si rahisi kuuona kwasababu watu hupendelea ushindi ni kuwa kura za upinzani zimeongezeka sana.
Mfano ni zaidi ya kata zaidi ya 8 ambalo kura za upinzani zikionganishwa pamoja zinazidi za ccm.
Kwa mtaji na uwelewa huo wa watu basi kilichobakia ni mkakati namba 2 wa kuziunganisha kura hizo tu basi ushindi utakua dhahiri
 
Back
Top Bottom