Edward Lowassa ndani ya Mbeya vijijini Operation UKUTA

Wakamkamate lowassa sasa. Si kazuia mikutano ya kisiasa?
Wakimkamata huyu Lowassa pengine ukuta utaanza siku hiyoyo, ndio utajua kuwa kweli alishinda kwa salimia 62. Watanzania bado wanaimani naye, ila sasa wananchungulia tu Magufuli anafanya nini kwanza. Lakini naona kama anachuja kwa haraka, sababu haji na mpya tena baada ya kutumbua vidagaa pale bandarini.
 
Yaani Lowasa huyu aliyekuwa kila akipita anatisha,Akifika mahali anapokelewa na wakuu wote wa vikosi vya ulinzi na usalama na kupigiwa saluti toka kila upande Leo hii anapokelewa na BAVICHA!
Mwenyezi Mungu kamwadhibu barabara kwa dhambi alizowatendea watanzania walio wengi
 
Hebu zitaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…