Edward Lowassa ndani ya Mbeya vijijini Operation UKUTA

Edward Lowassa ndani ya Mbeya vijijini Operation UKUTA

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Mh Edward lowassa akiwa katika Mkutano wa ndani MBEYA vijijini muda huu akiendelea na ziara ya Kujenga UKUTA na kazi ya chama ndani ya chama .
IMG-20160822-WA0049.jpg
IMG-20160822-WA0047.jpg
 
Wakamkamate lowassa sasa. Si kazuia mikutano ya kisiasa?
Wakimkamata huyu Lowassa pengine ukuta utaanza siku hiyoyo, ndio utajua kuwa kweli alishinda kwa salimia 62. Watanzania bado wanaimani naye, ila sasa wananchungulia tu Magufuli anafanya nini kwanza. Lakini naona kama anachuja kwa haraka, sababu haji na mpya tena baada ya kutumbua vidagaa pale bandarini.
 
Yaani Lowasa huyu aliyekuwa kila akipita anatisha,Akifika mahali anapokelewa na wakuu wote wa vikosi vya ulinzi na usalama na kupigiwa saluti toka kila upande Leo hii anapokelewa na BAVICHA!
Mwenyezi Mungu kamwadhibu barabara kwa dhambi alizowatendea watanzania walio wengi
 
Hebu zitaje.
 
Back
Top Bottom