Edward Lowassa ndani ya ITV saa 3 usiku leo

Shaweka jenereta karbu ata wakikata umem lazm tucheki mambo ayo my pressnt
 
Anajifanya kutuhadaa waislamu eti atawaachia Mashekh ili tumchague!?

Kuzikwa na watu wengi sio kwenda peponi,utajaza uwanja,ukumbi na utashangiliwa sana tu ila Ikulu hutoenda maana mungu hajapanga bado
 
Hakuna kukoksa na tanesco wasikate umeme.Master key ya kufungulia kifo cha ccm
 
Sipangi kukosa kuangalia kipindiki hiko..
 
Anajifanya kutuhadaa waislamu eti atawaachia Mashekh ili tumchague!?

Kuzikwa na watu wengi sio kwenda peponi,utajaza uwanja,ukumbi na utashangiliwa sana tu ila Ikulu hutoenda maana mungu hajapanga bado
Kwani wewe uliyeongea na Mungu kapanga nani ataingia ikulu.
 
Hatuhitaji kumuona ITV... Tunamuhitaji kumuona field.

Rais gani awe ka yai.
 
mkuu ni za kweli hizi taarifa au ndio hvyo tena
 
Asante kwa taarifa. Tutakuwa na familia zetu mbele ya TV... kama hawatakata umeme kwa amri ya serikali
 
Anajifanya kutuhadaa waislamu eti atawaachia Mashekh ili tumchague!?

Kuzikwa na watu wengi sio kwenda peponi,utajaza uwanja,ukumbi na utashangiliwa sana tu ila Ikulu hutoenda maana mungu hajapanga bado

Kwa hiyo hao ma sheikh wanavyoliwa wewe unaona sawa ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…