Edward Lowassa: Nasali sana ili nipate Urais

Edward Lowassa: Nasali sana ili nipate Urais

Yethero Mgale

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
525
Reaction score
228
Waziri Mkuu aliyejiuzulu na mtia nia ya Urais kupitia CCM amesema kuwa anasali sana ili aupate Urais wa JMT, ameyasema hayo akiwa mkoani Kigoma akitafuta wadhamini.

Source: RFA-Magazetini leo
 
Waziri Mkuu aliyejiuzulu na mtia nia ya Urais kupitia CCM amesema kuwa anasali sana ili aupate Urais wa JMT, ameyasema hayo akiwa mkoani Kigoma akitafuta wadhamini.

Source: RFA-Magazetini leo
Yani mtu awe mwizi kwa makusudi kabisa halafu anasali anamwabudu mungu gani labda kama anaabudu miungu.
 
membe kajiabisha imani zote za dini zinapinga kusali au kuomba kitu kotoka kwenye kaburi.sasa anapiga goti kwenye kaburi kuongea na mfu badala ya kwenda kwenye nyumba za ibada hafai kuwa rais hata ubunge hafai
 
anayesema akiwa rais mfu atafurah.. aende hukohuko kwa wafu wampigie kura! hatumtafuti rais wa kufurahisha wafu! tunamtaka rais mwenye ari, shauku, morali wa kupambana na anayeuchukia umasikin kwa dhat kabisa...! tunataka kuanza mchakamchaka wa maendeleo ! !!
 
Hata asali vioi hawezi kuupata Urais. Mingu amemlaani kwa kumnyonyoa nwele Dr Mwakyembe pamoja na ufisadi aliofanya na anaoendelea kuufanya. Huwezi kutegemea huruma ya Mungu ilhali Mungu huyo huyo unazidi kumchefua kila kukicha
 
Tehetehetehetehe. Fisadi toka lini akawafikiria maskini?
 
membe kajiabisha imani zote za dini zinapinga kusali au kuomba kitu kotoka kwenye kaburi.sasa anapiga goti kwenye kaburi kuongea na mfu badala ya kwenda kwenye nyumba za ibada hafai kuwa rais hata ubunge hafai
Jamani jamani. Hivi mbona mnaendelea kuongelea hawa watu? Kila kukicha ni Membe, Lowasa. Hawa wote hawafai kabisa kwenye nafasi ya urais. Tunataka Rais wa kutuunganisha Watanzania na si kutugawa
 
Kama Mungu amemkataa asiwe rais kwa hiyo ana taka kumlazimisha ampe urais kwa nguvu?.
 
Hata asali vioi hawezi kuupata Urais. Mingu amemlaani kwa kumnyonyoa nwele Dr Mwakyembe pamoja na ufisadi aliofanya na anaoendelea kuufanya. Huwezi kutegemea huruma ya Mungu ilhali Mungu huyo huyo unazidi kumchefua kila kukicha

Na akipata urais, mbona ya Idi Amin yatakuwa kama wimbo wa chekechea! Huyu jamaa hafai.
Akachunge ng'ombe wake Monduli.
 
Mungu labda awe shetani,Mungu gani anaruhusu UFISADI?visasi....!!
 
Lowassa alianza na Mungu kwa njia ya kupanda mbegu kwenye nyumba za ibada. Pale walipomtuhumu kwa uongo hakuwajibu alienda madhabahuni, alikaa kimya na kusikiliza sauti ya Mungu "usijibizane na hawa nitakupigania na utashinda"

Baada ya miaka Saba ya vita kali Mungu akamuinua Lowassa baada ya sala zake na sadaka yake kupokelewa na Mungu.

Waliodhani hatasimama tena Mungu amemsimamisha Mara nyingine tena. Na hii ndiyo nguvu ya Lowassa ni ucha Mungu wake. Hili litamfikisha mbali, na viunzi vyote kwa msaada Wa Mungu ataviruka na taji atavikwa.

Tusichokijua hakuna kiongozi hata Mmoja Wa CCM au Wa upinzani anayemchukia Lowassa. Wote wanamkubali kuwa uwezo na busara anazo. Wanajua siyo mnafiki bali mungwana sana.

Ni mtu ambaye ni msikivu sana mpole asiyevumilia mamba ambao hayana tija. Ni MTU straight forward siyo mbabaishi. Ukifanya jambo atakutazama machoni na kusema hapana Y hili siyo sahihi. Na ndiyo siri ya mafanikio ya watu wengi wenye kusema kweli kwa kusimamia wanachokiamini ni cha kweli.
 
Jamani jamani. Hivi mbona mnaendelea kuongelea hawa watu? Kila kukicha ni Membe, Lowasa. Hawa wote hawafai kabisa kwenye nafasi ya urais. Tunataka Rais wa kutuunganisha Watanzania na si kutugawa

Rais mwenyewe ni Dr slaa ambaye ameshaanza kutuunganisha kupitia UKAWA.
 
we cant ray on kashfa ambazo hata mahakaman hazipo! mbona uhuru kenyatta kawa rais huku kes ikiwa ICC?? na hata kama akiwa mtenda dhambi vip kwa mungu kuna kila msamaha ukipiga goti kwake! wewe subiri utabiri wa TB shojua utimie..!
 
Hivi hakuna mada nyingine ?? kila siku lazima Huyu jamaa yenu Azungumziwe humu. Au mnalipwa ??
 
Back
Top Bottom