panadol
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 349
- 44
Ukiwa mwanachama wa CCM sikuzote huwazi kwa kutumia akili.
sikutegemea kabisa kama Ole Sendeka na yeye angetumia makalio kwenye hili sakata la Lowassalism[/QUOTE Acha kuwaza kama kunguru , wana CCM hawako hivyo ufikiriavyo wewe mfuasi wa chama cha mgambo,aliyekwambia ndani ya CCM kuna makundi ni nani?unavumisha maneno ili kuwavuruga wana CCM,sikia siku zote wana CCM ni wamoja na hiyo ndiyo siri yao ya mafanikio na ushindi,safi sana wana CCM kwa umoja na mshikamano mlionao hakika ushindi unakuja,Kidumu Chama Cha Mapinduzi CCM!