Edward Lowassa na Ole Sendeka sasa ni marafiki!

Leo sendeka ameenda ngarenanyuki akawachukuwa wamasai wapatao 66 na kuwapeleka monduli kwa lowasa.wamasai hao ni wale waliompa nasary ungozi wa kimila.sendeka ni popo kwa mafisadi yupo,kwa wapinga mafisa di yupo au tumuite shoga .
 
Sidhani kama itatusaidia kutafuta majibu rahisi kwa maswali magumu kwa kuamini kuwa matatizo yote humu nchini km vle ajira, mfumuko wa bei,miundombinu,elimu,afya,nishati nk. Katika Nchi yenye miaka hamsini eti umesababishwa na Lowassa, huku ni kuukimbia ukweli kuwa tatizo ni CCM, Watu wengi wameingia mtego eti kuwa ndani ya CCM kuna mafisadi na wanaopinga ufisadi hvyo wanaojiita wanapinga ufusadi wanapata uungwaji mkono mkubwa, dhana hii (kuwepo mafisadi vs wapambanaji) ndio inaipa CCM uhalali na uungwaji mkono, ukweli huwezi kuogelea kwenye bwawa la tope na ukatoka msafi. Tutafute suluhisho na wala si kumfanya Lowassa scapegoat !
 
I have the same opinions, this is because the entire system is corrupt so let's bring it down and start afresh.
 
There was an Opportunity to reform under the Premeirship of the late E.M Sokoine & the late Horace Kolimba but it didn't happen and there is no turning back now..
 
Ukiwa mwanachama wa CCM sikuzote huwazi kwa kutumia akili.
sikutegemea kabisa kama Ole Sendeka na yeye angetumia makalio kwenye hili sakata la Lowassalism

Mbona zitto na slaa kwenye suala la kukutana na rais kuhusu katiba walifanya kazi pamoja huku mbowe akisubiriwa posho za kukaa kitako bungeni japo uhusiano wa zitto na slaa unaeleweka kwamba wanatofautiana sana?hamuwezi kutofautiana kwenye kila jambo,nyie vinega msitumie masaburi kufikiri haraka haraka.
 
Ukiwa mwanachama wa CCM sikuzote huwazi kwa kutumia akili.
sikutegemea kabisa kama Ole Sendeka na yeye angetumia makalio kwenye hili sakata la Lowassalism

Mh. D. Masaburi nawe umetuletea usemiiiiiiiii. sidhan kama utafutika huuuu
 
ccm linapokuja suala la kuishughulikia chadema inakuaga moja,hii mlikua hamuijui eeeh?
 
Sidhani kama itatusaidia kutafuta majibu rahisi kwa maswali magumu kwa kuamini kuwa matatizo yote humu nchini km vle ajira, mfumuko wa bei,miundombinu,elimu,afya,nishati nk. Katika Nchi yenye miaka hamsini eti umesababishwa na Lowassa, huku ni kuukimbia ukweli kuwa tatizo ni CCM, Watu wengi wameingia mtego eti kuwa ndani ya CCM kuna mafisadi na wanaopinga ufisadi hvyo wanaojiita wanapinga ufusadi wanapata uungwaji mkono mkubwa, dhana hii (kuwepo mafisadi vs wapambanaji) ndio inaipa CCM uhalali na uungwaji mkono, ukweli huwezi kuogelea kwenye bwawa la tope na ukatoka msafi. Tutafute suluhisho na wala si kumfanya Lowassa scapegoat !

Ukweli uko sawa. ndani ya ccm hakuna aliye msafi wala hakuna kilicho safi. hakuna mpinga ufisadi. wote ni wa utawala mmoja na mwisho wa siki lao ni moja.(mfano no muswada wa katiba).
 
sendeka_lowassa.jpg

Sendeka ameona akina SIta wanaishiwa nguvu na amepima ameona Lowassa atabaki na nguvu hata kama asipokua Rais hapo 2015 (angalau nguvu zile zile za kumtoa yeye Sendeka kwenye jimbo lake akiendelea na kuwa kambi ya akina 6). analinda mkate wake
 
me i dont see the reason why ni lowasa kila kukicha hata hawa viongozi wa chadema sio mnavodhani . tusisahau siasa mchezo mchafu , hakuna nchii yenye kiongozi bora dunia nzima taja? but lowasa ni morani mwanaume na tutampa nchii!
 
Back
Top Bottom