Edward Lowassa na Ole Sendeka sasa ni marafiki!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,508
Reaction score
911,249
sendeka_lowassa.jpg
 
Yes that is normal, in politics, hakuna permenent friends or permanent enemies, all friendship is friendship of convenience. Kwa wenye kumbukumbu, Mzee Mwanakijiji alianzisha mada akiuliza 'Wapiganaji walioko CCM, (kila Ole Sendeka na wale wanaojiita makamanda), wanapigania nini?.
 
Kampeni za uchaguzi jimbo la Arumeru mashariki zitaibua mengi mwaka huu. Christopher Ole sendeka aliyekuwa mmoja wa wanamgambo wa ufisadi sasa amejifunga kibwaya na kujiunga na kambi ya EL kuhakikisha mgombea wao Sioi anashinda.

Ole Sendeka ameamua kwenda Arumeru kuongeza nguvu na jana alipanda jukwaani kumnadi Sioi na kusema hhuyo ndie mkumbozi pekee wa wameru na amekula yamini kumuunga mkono hadi ushindi upatikane.

Kwa hali hiyo Ole Sendeka amejitenga na kundi la Sitta na sasa ameungana na Beatrice Shelukindo katika kuhamia kambi ya Lowasa ambayo imo katika vita baridi kuwania urais 2015. Ikumbukwe Mama shelukindo na mumewe walikuwa kambi ya sita before 2010 lakini baada ya uchaguzi mkuu mama huyu akaingia kambi ya Lowasa.

nani kama Lowassa???
 
Ondoa ujinga wako hapa. Kampeni ni za mgombea wa CCM siyo za Lowasa. Mbona CHADEMA kuna makundi na hamusemi? Kuna kundi la mbowe na kundi la Zito. Dr Slaa yupo kama popo tuu kila kitu yeye anakubali tuu hasa analolisema Bwana Mkbwa Mbowee
 
Ukiwa mwanachama wa CCM sikuzote huwazi kwa kutumia akili.
sikutegemea kabisa kama Ole Sendeka na yeye angetumia makalio kwenye hili sakata la Lowassalism
 
huenda ni sifa mojawapo ya kuwa nayo kabla hujapewa kadi ya uanachama
 
Ondoa ujinga wako hapa. Kampeni ni za mgombea wa CCM siyo za Lowasa. Mbona CHADEMA kuna makundi na hamusemi? Kuna kundi la mbowe na kundi la Zito. Dr Slaa yupo kama popo tuu kila kitu yeye anakubali tuu hasa analolisema Bwana Mkbwa Mbowee

acha hasira mkuu, bado Nape tu naye soon atajiunga na kambi ya lowasa kwa ajili ya mkate wake wa after 2015
 
ole sendeka mnafiki tuu kama anne kilango na kama beatrice shellukindo
 
Sitta mbona umepiga kimya, njoo AM kumuunga mkono Sioi Lowassa, tumeshatoka kanisani sasa tupo AM
 
Ondoa ujinga wako hapa. Kampeni ni za mgombea wa CCM siyo za Lowasa. Mbona CHADEMA kuna makundi na hamusemi? Kuna kundi la mbowe na kundi la Zito. Dr Slaa yupo kama popo tuu kila kitu yeye anakubali tuu hasa analolisema Bwana Mkbwa Mbowee

Ukiacha kuwaza Pilau ya ccm utajua ukweli kuhusu Olesendeka na Lowassa, Utaujua Ukweli Kuhusu Siyoi na Lowassa.
Lakini kwa kuwa umeshanyweshwa maji ya Bendera ya Kijani hata Macho ya Akili hayaoni mbali.
CCM ni mali ya Lowassa, na wengi mmeshapofushwa hamtaweza kutambua mpaka muwe nje ya uwanja ndiyo mtaona.
Ole Sendeka kumbe ni kiherehere cha ubunge tu kichwani mweupe!
Bora hata yule kuwadi wa Mafisadi Milya, maana anajionyesha kweli yeye ni mtumwa wa Lowassa
 
hata akienda kumnadi Siyoi Sendeka kwa asili hawaivi na Lowassa,kwanza alichangia sana huko nyuma kutaka Lowassa asikubalike na wamasai kwa kumleta mmasai kule monduli ili achukue jimbo,anaweza kuigiza kny kampeni lakini yeye na Lowassa siyo!
 
kwanini iwezekane shelukindo kujiunga kambi ya lowasa wakati walikuwa chui na paka na ishindikane kwa ole sendeka?
 
Hoja nyepesi sana.
Ukosefu wa elimu una madhara yake.
OTIS
 
hata akienda kumnadi Siyoi Sendeka kwa asili hawaivi na Lowassa,kwanza alichangia sana huko nyuma kutaka Lowassa asikubalike na wamasai kwa kumleta mmasai kule monduli ili achukue jimbo,anaweza kuigiza kny kampeni lakini yeye na Lowassa siyo!

Tatizo anakurupuka huyo mseng*, kihistoria, Lowassa na Sendeka ni vitu viwili tofauti kabisa!
 
Kampeni za uchaguzi jimbo la Arumeru mashariki zitaibua mengi mwaka huu. Christopher Ole sendeka aliyekuwa mmoja wa wanamgambo wa ufisadi sasa amejifunga kibwaya na kujiunga na kambi ya EL kuhakikisha mgombea wao Sioi anashinda.

Ole Sendeka ameamua kwenda Arumeru kuongeza nguvu na jana alipanda jukwaani kumnadi Sioi na kusema hhuyo ndie mkumbozi pekee wa wameru na amekula yamini kumuunga mkono hadi ushindi upatikane.

Kwa hali hiyo Ole Sendeka amejitenga na kundi la Sitta na sasa ameungana na Beatrice Shelukindo katika kuhamia kambi ya Lowasa ambayo imo katika vita baridi kuwania urais 2015. Ikumbukwe Mama shelukindo na mumewe walikuwa kambi ya sita before 2010 lakini baada ya uchaguzi mkuu mama huyu akaingia kambi ya Lowasa.

nani kama Lowassa???

Title ya thread hailingani na yaliyoandikwa....anyway inawezekana kuna kitu nyuma ya pazia...hata hivyo inapofika wakati wa kutetea ushindi wa CCM katika uchaguzi wowote nadhani wanahitaji kuwa kitu kimoja and this is what Ole sendeka is doing.
 
Back
Top Bottom