Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Labda nikuulize wewe.

Mimi ni Queen Esther. Uwanja wa kina mama ndio haswa unaonihusu. Nitafungua Uzi mwingine wa Madame Samia wakati ukifika. Kwa hapa zingatia kichwa cha habari tafadhali. Usitoke nje ya mada.

Queen Esther

Kabisaa
 
LOWASSA alishafanya mengi sana hivyo sisi watanzania malofa tunamjua, LOWASSA hana kazi ya kupiga kampeni kazi ya LOWASSA hivi sasa ni kupunga mkono tu then sisi tunampa kura bila jasho

Tupo pamoja sana,watu wanafikiri uraisi nikubeba zege,watu wanafikiri urais nikuongea sana,yuu wapi yule hand some boy aliyependwa na wanawake?kama hujazoea kuongopea raia kamwe huwezi kuwa muongeaji sana,ila mtu anaongea sana niwakuogopwa kama ukoma tumejifunza mengi mdau.
 
Nadhani umemsikiliza mama Regina Lowasa alivyotoa hotuba ya changamoto za wanawake, Lowasa kamwachia mkewe ajimwage yeye kawapa kazi moja wanawake ya kumtafutia kura

Kwikwikwikwi...kwanini H.Mdee asingesema kuwa wanakutana na regina?? Mmechemka
 

Jamaa kichekesho sana.nimeacha gazeti langu kusoma kumbe nikapoteza muda.jamaa anawaomba wamtafutie kira alafu wakitane gurudoto wakajadiliane matatizo yao.kwa hiyo sasa hajui matatizo na pia hajitaji kisikia matatizo yao mpaka ashinde.kwa sababu Leo mama na Dada zetu wameingiza chao wakaishia kushangilia bila kujiuliza huyu MTU si mpumbavu na lofa?huyu ndo mwanasiasa duniani mwenye hotuba mbovu haijawahi kutokea.no wonder anatafuta huduma mitaani kwa maigizo.
 

Hasafishiki lowassa mbona mnahangaika
 
Ulifatilia lkn hukusikia alichokiongea toka mwanzo, alianza kwa kusema Leo sikusudii kutoa hotuba

Sio wote wanaokwenda mahali wanasikiaga kila kinachoosemwa,mtu kashasema hakukusudia kutoa hotuba bado watu wanadai kiu yao haijaisha lbd wanakiu nyingine tofauti.
 
Kwikwikwikwi...kwanini H.Mdee asingesema kuwa wanakutana na regina?? Mmechemka

Itifaki ilizingatiwa, kwa sasa Lowasa ana kazi moja tu nayo ni kutafuta kura nasema tena rudia hotuba ya mama Regina
 
unajua mm sielewi jambo moja unapo zungumzia hakukata kiu yako unaana gan? hv kuna k2 chenye mashiko juu ya wanawake kama kilichopo ndan ya ktba ya warioba hata kama ulitaka aseme vyote vnavyowafuraisha bt kama akipo kwenye katiba is nothing wataweza kufaidika wachache bt kikiwa kwenye katiba mtafaidika wote na ndo falsafa ya ukawa ku bring back ktba ya warioba leo hata akiwa rais mpaka mawaziri wote wanawake c kwamba wanamke wa tanzania atakomboka na kujifungulia chini au jembe la mkono lakini ikiwekwa kwenye katiba zikajulikana haki na wajibu kila mtu atafaidika kuliko kusubl ahadi za uongo za wanasiasa
 
Ukiona kiongozi anaongea sana tambua huyo si mtekelezaji mara zote yule asiye ongea sana ndiye mtekelezaji ni ukweli usiopingika
 

Hayo ni mahaba tu ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…