Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Edward Lowassa hukukidhi kiu ya wanawake!

Queen Esther

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
2,206
Reaction score
1,464
Heshima kwenu wana JF.

Nimefatilia kwa karibu sana sana hotuba ya Mhe. Mgombea u Rais kupitia UKAWA aliyoitoa hapa LAPF kwenye kongamano la wanawake BAWACHA na kubaini jambo moja kubwa sana.

Kauli mbiu ya kongamano ni "LOWASSA NA HATMA ZA CHANGAMOTO ZA WANAWAKE TANZANIA"

Nimesikitika kuwa nilitegemea kwenye hotuba Yake ataweza kuelezea mikakati ya ukombozi huo wa mwanamke. Nasikitika kuwa sikuona mahali popote akiongelea changamoto hizo na jinsi ya kuzitatua.

Ameishia kuimba Wimbo wa Mhe. Magufuli "Alinselema Hadija, mchaka mchaka chinja" na kuzungumza mambo ya MAHABA!!!!!!!!

Nasikitika kusema mimi kama mwanamke nimeondoka na kiu yanguuuu!Ngoja nimsubiri mzee original wa Alinselema. I hope atatuondolea kiu hii!

Tunataka kuona SERA za ukweli za kumkomboa mwanamke, sio MAIGIZO.

Naomba kuwasilisha.

Queen Esther
 
Nimepoteza muda wangu kufatilia kwa makini Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium, ili nisikie Mhe Lowassa amewaandalia nini Wake na Mademu zetu.

Ila nimeshangazwa na hutuba yake, ambayo haikubabadua chochote cha kuwabadilishia awa viumbe! Aisee UKAWA jipangeni, mgombea wenu hawezi kumiliki jukwaa, kusema ukweli!!
 
Sijaona cha maana hata kimoja alichowaambia, kaishia kuimba ti nselemaaa na kurudia hoja zaidi ya mara 2, Lowassa pumba kabisa. Eti wakamtafutie yye kura, unashindwa kuzunguka ufanye kampen unawatuma kina mama, pumbavu sana.
 
Kila mtu na maumbile yake.Kuna waongeaji wazuri na kuna wengine si waongeaji.Ni hulka ya.watu kuwa.tofauti.Lowassa aonekanavyo si muongeaji sana.Sijawahi msikia akiongea kama mwanasiasa hata alivhokuwa CCM so siwezi kumuhukumu kwa maumbile yake.
 
Nimepoteza muda wangu kufatilia kwa makini Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium, ili nisikie Mhe Lowassa amewaandalia nini Wake na Mademu zetu.
Ila nimeshangazwa na hutuba yake, ambayo haikubabadua chochote cha kuwabadilishia awa viumbe!
Aisee UKAWA jipangeni, mgombea wenu hawezi kumiliki jukwaa, kusema ukweli!!

Karibu kutema mate chini, PIA muogope Sana Mungu
 
Lowasa bomu sana tu tena sana. Msigwa wa CHADEMA alishasema atakayempigia kura Lowasa akapimwe akili

Mmezoea kudangwa na Magufuli na yeye mnataka adanganye? Ilani ya uchaguzi ina kazi gani? Hujui hiki ni kipindi cha kampeni na unaweza kuomba kukutana na kundi lolote na ukaomba kura?
 
Lowassa sio mwongeaji,hata anapokua anaomba kura monduli,ndivyo alivyo.
 
Nadhani umemsikiliza mama Regina Lowasa alivyotoa hotuba ya changamoto za wanawake, Lowasa kamwachia mkewe ajimwage yeye kawapa kazi moja wanawake ya kumtafutia kura

Kikao kilikuwa cha mama Lowassa au Lowassa?
Maskini Regina anajaribu kumfichia aibu mumewe. Unless anataka kuwa shadow president nashauri Lowassa ajitahidi kuongea mwenyewe.
 
Wewe utakuwa huijui Katiba ya JMT. Wapi pameainishwa kazi za First Lady???

Madame Regina mwenyewe kasema namwachia mume wangu atoe kiu yenu. Mbona tumeondoka na kiu yetu????

Queen Esther

Nadhani umemsikiliza mama Regina Lowasa alivyotoa hotuba ya changamoto za wanawake, Lowasa kamwachia mkewe ajimwage yeye kawapa kazi moja wanawake ya kumtafutia kura
 
Lowassa pumba kabisa, cjategemea alichokifanya. Nilitegemea kwel atakuja na hizo hoja za ukomboz lkn kafanya mambo ya kitoto kabisa, theme na alichokifanya ni upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom