Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Leo tarehe 7/8/2016, Aliyekuwa waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania *Mh. Edward Ngoyai Lowassa* (Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CHADEMA) alitembelea maonesho ya nanenane mkoani Morogoro; Kuangalia, Kusikiliza na kushauriana na Wakulima mbalimbali juu ya changamoto za kilimo.
Mheshimiwa Edward Lowassa atakua huko kwa siku mbilimbili kwa ajili ya shughuli hiyo.
Wangeyafunga maonyesho,Nadhani hawakujua kama atakwenda hapo!
Yule mkulu kashapotezwaKesho magazeti yataandika habari gani sasa? maana kuna habari nyingi sana siku ya leo
Hajapata zuio la polisi, atasababisha maandamano!Leo tarehe 7/8/2016, Aliyekuwa waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania *Mh. Edward Ngoyai Lowassa* (Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CHADEMA) alitembelea maonesho ya nanenane mkoani Morogoro; Kuangalia, Kusikiliza na kushauriana na Wakulima mbalimbali juu ya changamoto za kilimo.
Mheshimiwa Edward Lowassa atakua huko kwa siku mbilimbili kwa ajili ya shughuli hiyo.