Edward Lowassa atangaza rasmi mbio zake za urais 2015...

Mwambieni atibu kwanza maradhi yanayomsumbua jamani. Hatutaki Rais atakayetufia magogoni. Hana siha njema anajitutumua tu
 

Nimemwona hata Waziri Ole Medeye!
 
Lowassa Lowassa please naomba kwa sasa upumnzike kwani tayari 2015 tayari wewe ni rais weka nguvu kwa ajili ya kujiandaa kuapishwa Mr prezda....walai Membe akipewa Nchi hii naenda kuishi kenya na jinsi nilivyo mjaluo I just cross the border, siwezi kukubali kutawaliwa na weak leader, kiongozi asiwe na hata hulka ya uongozi aende akawe kiongozi ya familia ya Mama salma jamaa akistafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…