Edward Lowassa atangaza rasmi mbio zake za urais 2015...

Mwambieni atibu kwanza maradhi yanayomsumbua jamani. Hatutaki Rais atakayetufia magogoni. Hana siha njema anajitutumua tu
 
Wakuu nafatilia habari Channel 10 kuna habari ya mhe. lowasa yupo kanisani huko monduli nimemsikia akiomba watz wamwombee ktk safari yake ngumu kwenye milimani, mabonde na miiba. ila mhe. hajafafanua anaelekea wapi. Kuna mtu anayeweza kunitoa tongotongo mhe.ana safari ya kuelekea wapi?

Nimemwona hata Waziri Ole Medeye!
 
Lowassa Lowassa please naomba kwa sasa upumnzike kwani tayari 2015 tayari wewe ni rais weka nguvu kwa ajili ya kujiandaa kuapishwa Mr prezda....walai Membe akipewa Nchi hii naenda kuishi kenya na jinsi nilivyo mjaluo I just cross the border, siwezi kukubali kutawaliwa na weak leader, kiongozi asiwe na hata hulka ya uongozi aende akawe kiongozi ya familia ya Mama salma jamaa akistafu
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom