Edward Lowassa afika nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo kutoa Pole

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa mchana huu amefika nyumbani kwa marehemu Dr. Philemon Ndesamburo mjini Moshi kutoa pole na kutia sahihi kitabu cha maombolezo nyumbani hapo.






IMG-20170604-WA0036.jpg
IMG-20170604-WA0037.jpg
 
Mbona leo huyu Body Guard anashangaa?...

Hajui kuwa huyu ni Lulu wa Taifa?
 
Love u my Presdent Lowassa!!!! others I don't remember and don't ask me because u can't plan to me the president to love!!
 
Lowasa mtu wa watu, mfalme anaweza kukataza wanachama wake wasifike kwenye msiba wa mpinzani.
by ze wei Gambo hajafika hapo kushughulikia rambirambi
 
Ccm wakiona hivi,roho zinawauma mno.wao kiranja wao anapiga marufuku wananchi kuzikana kufarijiana,na wamepewa hela watumie
Mbinu zote,kuonyesha msiba huu sio kitu.

Tusijali wapinzani,ccm tumewazoea,bungeni mnaiona hali,ACT mmeona walivyoingiliwa na kuhamishiwa ccm ili tu kuua uinzani.sasahivi zito atapewa uwaziri.

Tusijali wapinzani,tujipeni moyo sisi lengo ni moja tu ! ccm hawatatutia kwapani.
Tuendeleze umoja watu kuombeana sana,kupendana na kutiana moyo,tutavuka tu.

Mungu Linda nchi dhidi ya huu ubaguzi,hata wa misiba.Fanya jambo Mfalme magofili,aaibike,adharaulike na kuchekwa kimataifa.hujawahi kutonijibu nikikuoba,najua hata hili
Utanijibu,Amen.
 
Lowasa ndio president wetu wa mioyo. Anajua kutufariji kiakili na kimwili. Hakika sasa anaishi kwa amani. Mungu aendelee kumbariki kiongozi na baba yetu.
Mtafutaji hachoki. Hivyo ni wajibu wa Lowasa kujipendekeza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom