Edward Lowassa afika nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo kutoa Pole

Tumeanza kuingiza siasa kwenye msiba ndiyo tatizo.

Kwa history ya nchi hii kwa msiba yote niliyowahi kusikia iwe ya matajiri au masikini,wengi au wachache,maarufu au asiwe maarufu mara nyingi huwa tunaanza kukumbuka mambo Mzuri aliyoyafanya marehemu ktk uhai wake na michango wake kwa jamii na Mara nyingi wana familia hupewa nafasi ya kuamua mazishi ya mpendwa wao.

Sasa naona siku hizi kumeibuka vituko Vua kila aina ktk msiba na ndiyo sehemu siku hizi watu wana kula rambirambi utakuta mmechanga pesa ya kusafirisha marehemu lakini ndugu yenu anakula cha juu na Mwenye coaster au catering services yaani shida moja kwa moja.

Msiba imekuwa sili siku hizi watu wanalilia kuwa viongozi mwenyekiti wa kamati au mwaka hazina.
 
Nashukru kwa kuliona hili. Ndo maana Jana zikaanza figisu za mahali pa kuagia ili mradi kila mahali tunaingiza siasa. Mtu akinyimwa uenyekiti wa msiba anazuia uwanja wa kuagia.
 
Live long lowassa una moyo wa kibinadamu misiba unakwenda physically haulii twiter nyuma ya keyboard
 
Sasa kaingia tu anachafuliwa mikono na jamaa aliyetoka chezea nyeti za wema! Sio haki kabisa...
 
Lowassa hanaga makuu....yule mvuta bangi wa chuga atakua anaumia sana.
Mbowe Ndio kafiwa? mlitakiwa mtoe picha Ya lowasa akitoa mkono kwa wanafamilia wafiwa sio mbowe au walikataa kuonana naye na kupeana mkono naye?
 
Anajipendekeza kuliko magofili,anayegombea foti futi kila Leo ?

Sawa mchanga wa dhahabu,kungwi,anajiandaa kumcheza,tukiwasubiri ccm wenzie mumtunze,zawadi sijui mtatoa wapi na hela yote amefungia bot,na mwenye fungo ndo mwali ! Poleni sana kwakuona kila afanyalo na kusema yupo sahihi.
Muda wake ukiisha,ubaguzi na ubaya
Alioupandikiza katika jamii, utakua na afya ya mbuyu,nahapo ndio mwisho wa upendo,na mshikamano Kati ya wananchi,kisa itikadi.
Endeleeni tu kumpa kichwa ila majuto hayapo mbali ! Tusije kutafutana ubaya tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom