Educational technology UDOM inahusiana na nini?

Balbadoz

Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
26
Reaction score
3
Habari zenu wandugu ,dogo wangu kachaguliwa udom coz ya EDUCATIONAL TECHNOLOGY ,je hii coz inahusiana na nn na je ipo marketable kwenye ajiri,msaada hapo
 
Sasa kuchaguliwa achaguliwe mdogo wako wewe maswali hayo ya nini?
 
Kwani mkuu hiyo course dogo si aliichagua mwenyewe? Au alichaguliwa course ambayo hakuomba?
 
Mkuu hii aliweka tu kama last chance na ndowamemchagua ,hila hatujajua vzur ni education ya namna gani
 
Habari zenu wandugu ,dogo wangu kachaguliwa udom coz ya EDUCATIONAL TECHNOLOGY ,je hii coz inahusiana na nn na je ipo marketable kwenye ajiri,msaada hapo
Bilashaka kachaguliwa college of informatics and virtual education (cive-udom) hyo coz inahusu mambo ya computer na technology kwa ujumla NB sio ualimu ni ufahamu tu kuhusu computer na technology kwa ujumla
 
ha ha ha watu mnakusudi sana ... kwa iyo ni kujua ka kompyuta tu...
 
Kiufupi inahusu integration of technology into education system. Ila haya maswali yanatuharibia siku, kozi achague mwwnyewe maswali tujibu sisi.
 
Mkuu hii aliweka tu kama last chance na ndowamemchagua ,hila hatujajua vzur ni education ya namna gani
Muache akasome huko hata ukijua haitobadilisha kitu,hujui Educational Technology ni kozi ya nini?una level gani ya elimu tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom