wazamzibari huwa hawasaidii wabara hata nukta moja!Huu usemi niliusikia kutoka kwa Mange Kimambi wakati anapata Masters yake nchini Dubai. Nimeutafakari huu usemi na kuona ukweli ndani yake.
Hivi wale wapendwa wetu wa bongo movie wangekuwa na elimu si wangekumbukwa awamu hii. Wema umezunguka Tanzania nzima na mama Samia mkiomba kura asingeshindwa kukumbuka lakini ataanzia wapi?
Hata kama hayo vyanayosemea kuhusu Jokate ni kweli au si kweli lakini ana shahada yake safi ya mlimani pale.
Tukumbuke kusomesha watoto wetu.