Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 750
- 1,824
Habarini
Mwanangu ni mrembo Sana hata kuliko Mimi mamaako
Umechagua baba wa wanao mzuri sana ni tatizo na ukichagua mbaya Sana ni tatizo pia. Uwe una balance.
Edina mwanangu uzuri wako ni kwa sababu nilijua kumchgua baba ako. Usikosee kuchagua mume.
Aliwahi kusema jackline kwenye Uzi wake.
""Kosea vyote, usikosee mume