Eddo Kumwembe, achana na siasa ndugu, itakugharimu!

Hata Sina kinyongo

Senior Member
May 16, 2020
118
280
Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.

Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B.

Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara zote hazina mwisho mzuri.

Ni ushauli ambao unaweza kuuchukua ama kuachana nao!

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
 
Eddo kwa kufanya hivyo kuna sehemu yoyote anavunja katiba ya JMT?

Ungempa ushauri kama endapo, anauza madawa ya kulevya au anamiliki kundi la kudhulumu wengine haki za kuishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.

Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B.

Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara zote hazina mwisho mzuri.

Ni ushauli ambao unaweza kuuchukua ama kuachana nao!

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Huo ushauri ni kama nguvu za Giza Siasa hazikwepeki ukishindwa kushinda ungana nao
 
Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.

Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B.

Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara zote hazina mwisho mzuri.

Ni ushauli ambao unaweza kuuchukua ama kuachana nao!

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Je una ushahidi!
 
Kwani hao anao waunganishia ni watoto wadogo!! Nikajua labda amemtukana mtu au kumtishia maisha, kumbe amekuwa tu kiunganishi!

Na wewe waunganishe wale wa chama B waende chama A ili kubalance mambo.
 
Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.

Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B.

Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara zote hazina mwisho mzuri.

Ni ushauli ambao unaweza kuuchukua ama kuachana nao!

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Wewe acha kutisha watu

In God we Trust
 
Ushauli = ushauri / Team Mataga wengi mlibashite.
 
Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.

Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B.

Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara zote hazina mwisho mzuri.

Ni ushauli ambao unaweza kuuchukua ama kuachana nao!

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.

Nilipoona umekosea tu Kundika vyema neno Ushauri na umeandika Ushauli na hivi umesema ni mwana Yanga SC nikajua Kichwani hazijakutimia.
 
Back
Top Bottom