Eddo Kumwembe, achana na siasa ndugu, itakugharimu!

Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.

Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B.

Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara zote hazina mwisho mzuri.

Ni ushauli ambao unaweza kuuchukua ama kuachana nao!

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Kwanini hamjiamini? Kwa akili zenu mmeaminisha watanzania wasio na upeo kuwa siasa haiwahusu. Wakati siasa ndio inayoamua kama elimi itaboreshwa, kama ajira zitatengenezwa, kama maji safi, barabara zitaboreshwa, dawa zitakua hospitalini, yote haya yanategemea na aina ya viongozi mtu au watanzania wanachagua. Halafu mnaanza kuwaambia watu waache siasa, why? Ni haki yake Eddo kutoa maoni au mawazo yake kisiasa kwa vile siasa inamuhusu kama inavyomuhusu kila mtanzania,
 
Mkuu naona unataka kumpoteza?? Damu yake itakuwa kwenye mikono yako na vizazi vyako vyote
 
Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.

Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B.

Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara zote hazina mwisho mzuri.

Ni ushauli ambao unaweza kuuchukua ama kuachana nao!

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Hata kuandika tu hujui wewe ndio unataka kumkosoa Edo?? Hivi ccm hawa watu mnawaokota wapi?
 
Wewe mbona unakula, unavaa n.k mbona hauachi au ulikuwa haujui kama kula, kuvaa n.k ni siasa
 
Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.

Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B.

Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara zote hazina mwisho mzuri.

Ni ushauli ambao unaweza kuuchukua ama kuachana nao!

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Mbeya city na ndanda hazihitaji baraka za huyo Mungu wako kwa kuwa zinatokea congo si ndio?
 
Kwanini hamjiamini? Kwa akili zenu mmeaminisha watanzania wasio na upeo kuwa siasa haiwahusu. Wakati siasa ndio inayoamua kama elimi itaboreshwa, kama ajira zitatengenezwa, kama maji safi, barabara zitaboreshwa, dawa zitakua hospitalini, yote haya yanategemea na aina ya viongozi mtu au watanzania wanachagua. Halafu mnaanza kuwaambia watu waache siasa, why? Ni haki yake Eddo kutoa maoni au mawazo yake kisiasa kwa vile siasa inamuhusu kama inavyomuhusu kila mtanzania,
Comment bora kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo siasa unataka ufanye mwenyewe, wakifanya wengine unawatisha na ushauri wako wa kipuuzi
 
Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.

Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B.

Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara zote hazina mwisho mzuri.

Ni ushauli ambao unaweza kuuchukua ama kuachana nao!

Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Siass za Tanzania yeyote yule anaziweza siasa zenyewe za kujua kusoma na kuandika zitamshinda nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila Shaka atakua kaikosoa chadema hata Kama sijasikiliza [emoji1787]

Back
Top Bottom