ECOWAS yaamuru kupeleka Jeshi Niger

ECOWAS yaamuru kupeleka Jeshi Niger

Ni haramu Kwa jeshi Kuingilia Uongozi wa Kiraia.
Aaaha sawa! Sasa kama Jesh likiona uongozi wa kiraia hauwanufaishi raia na raia kutwa wanalalamikia huo uongozi wa kiraia, kutakuwa na hualamau wowote jeshi kuipundua serikali ya kirai,maana moyo wawanajeshi ni kuwalinda Rai
 
Ngoja yakashishikiswe adabu haya mavijana yenye mihemko! ..,eti yanakataa katakata
kuzungumza na wajumbe kutoka ECOWAS.
Wanakataa wajumbe kutoka EU.., Africa union,USA, na kwingineko kuzungumza na viongozi wa kijeshi

Hii ilionyesha kwamba hawana hata chembe ya hekima Bali ni hayawani kama wanyama wa porini tu

Putin pamoja kichaa chake chote hakuwahi kukataa kupokea ujumbe wowote,japo na yeye Huwa anaonyesha kibri kwa kuwawekea meza ndefeefu

Lakini Hawa jamaa hawakutaka kuweka hata meza ndefu

Unajiuliza watu Hawa wataiongoza serikali ya namna gani,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ilikuwa ni rahisi sana kuzuia operation ya ECOWAS. Kwanza wanamapinduzi wangekaa nao kwenye mazungumzo kisha wakahakikisha kwamba wataitisha uchaguzi mkuu mapema, wangetoa sababu za kumuondoa Rais madarakani.

Hapo uchaguzi huru na haki ungeitishwa na hakuna ECOWAS wala AU ingelalamika, wangevamia hapo tungesema wanaleta fujo wao.
Sasa hao wanamapinduzi wanagoma kufanya mazungumzo na jumuiya ya kikanda na wamemteka Rais eti watamuua ECOWAS ikiingia. Sasa unategemea nini kwa serikali inayoteka Rais mstaafu, hilo si kama kundi la kigaidi.
Wale wavaa gloves muda wote wanapungukiwa na busara hata wakiachwa hawafiki popote kwenye utawala.

Sababu Rais katekwa, Waziri wa Ndani na mshauri mkuu wa Rais wameunda kundi la uasi. Na kuna wafuasi wa serikali iliyopita humohumo jeshini na nchini. Hata Rais awe mbovu vipi huwa ana wafuasi wake sasa mambo ya kutishia kumuua inaonekana hawa ni wahuni tu
 
Hiyo ni kazi ya raia sio jeshi
 
Unaunga mkono kwakua ww ni mtanganyika watakao teseka ni wa Niger uko kuna watoto,wamama na wazee.
Sawa kazi ianze kukuche jumapili bukinabe na mali ndio wanaanza safari ya kwenda kuilinda Niger na watu wake.
Ndio maana naunga mkono Ili walitimue Jeshi,si walishangilia? Wanatakiwa wajue madhara ya Jeshi kupondua kwamba haikubaliki Duniani.
 
Ngoja yakashishikiswe adabu haya mavijana yenye mihemko! ..,eti yanakataa katakata
kuzungumza na wajumbe kutoka ECOWAS.
Wanakataa wajumbe kutoka EU.., Africa union,USA, na kwingineko kuzungumza na viongozi wa kijeshi

Hii ilionyesha kwamba hawana hata chembe ya hekima Bali ni hayawani kama wanyama wa porini tu

Putin pamoja kichaa chake chote hakuwahi kukataa kupokea ujumbe wowote,japo na yeye Huwa anaonyesha kibri kwa kuwawekea meza ndefeefu

Lakini Hawa jamaa hawakutaka kuweka hata meza ndefu

Unajiuliza watu Hawa wataiongoza serikali ya namna gani,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nakazia
 
Hiyo ni kazi ya raia sio jeshi
Raia ni wagumu sana kufanya maamuzi ya kumfurusha raisi kwasababu Huwa wanaliogopa jeshi ambalo linamiliki silaha na ambalo linaonekana kuwatii viongozi.

Ila kama raia wamebariki mapinduzi yanini Sasa ECOWAS kutaka kupeleka jeshi. Kitu kinachoonekana sio Cha busara sana ni jeshi la Niger kukataa mazungumzo ila pia huwenda wanaijua ECOWAS vizuri kuliko sisi na ndo maana hawataki mazungumzo nao.

Kama raia wamebariki jeshi kupindua utawala ambao ulikua unaonekana kama mti mkavu kwao basi Mungu AWABARIKI wafanye taratibu zao vizuri waweke utawala WA kiraia ambao unajua raia wanataka Nini na Jeshi lirudi mahala pake huku moyo wao ukiwa juu ya kuwalinda zaidi raia
 
Ilikuwa ni rahisi sana kuzuia operation ya ECOWAS. Kwanza wanamapinduzi wangekaa nao kwenye mazungumzo kisha wakahakikisha kwamba wataitisha uchaguzi mkuu mapema, wangetoa sababu za kumuondoa Rais madarakani.

Hapo uchaguzi huru na haki ungeitishwa na hakuna ECOWAS wala AU ingelalamika, wangevamia hapo tungesema wanaleta fujo wao.
Sasa hao wanamapinduzi wanagoma kufanya mazungumzo na jumuiya ya kikanda na wamemteka Rais eti watamuua ECOWAS ikiingia. Sasa unategemea nini kwa serikali inayoteka Rais mstaafu, hilo si kama kundi la kigaidi.
Wale wavaa gloves muda wote wanapungukiwa na busara hata wakiachwa hawafiki popote kwenye utawala.

Sababu Rais katekwa, Waziri wa Ndani na mshauri mkuu wa Rais wameunda kundi la uasi. Na kuna wafuasi wa serikali iliyopita humohumo jeshini na nchini. Hata Rais awe mbovu vipi huwa ana wafuasi wake sasa mambo ya kutishia kumuua inaonekana hawa ni wahuni tu
Hapo kutokutaka mazungumzo na kumteka raisi na kutotaja sababu inaonesha ni tatizo ila sijui Kwa Nini wamefanya hivyo.

(kama jeshi nitiifu Kwa raia wake) Mimi huwa najua jeshi ni wazalendo mno huwawanaju wanachofanya maana wanataarifa kama zote zinazo husu nchi madudu na mazuri.
 
.
20230411_222939.jpg
 
Unafikiri kazi ya jeshi ni kulinda tu CCM isitoke madarakani wewe kunguni wa Lumumba. Mtu ukiwa CCM lazima usiwe na akili jinga hili

Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya Nchi na Serikali iliyopo madarakani
 
Hapo kutokutaka mazungumzo na kumteka raisi na kutotaja sababu inaonesha ni tatizo ila sijui Kwa Nini wamefanya hivyo.

(kama jeshi nitiifu Kwa raia wake) Mimi huwa najua jeshi ni wazalendo mno huwawanaju wanachofanya maana wanataarifa kama zote zinazo husu nchi madudu na mazuri.
Wapewe kichapo Cha kutosha hao pimbi
 
Back
Top Bottom