ECOWAS wameonyesha njia

EAC waroho wa madaraka ni wengi yani hamna wa kumsema mwenzie..wengi wao wanaingia madarakani kwa janjajanja
 
Katika hyo listi nani atamfunga paka kengele,maana wote wanamadudu yanayoshabihiana ukienda kwa nkuruzinza majanga,kagame ndo mafia mkuu museven naye walewale,kabila ndo lahaulaa,shein hana afadhali raisi wa magumashi,salva kir tiamaji tiamaji,kenyata the goon himself,magufuli (no comment).sasa hapo nani atakayemshupalia mwenzie
 
Hakuna kitu hapa, mimi Kagame mnanijua, magufuli ndio huyo, uhuru hamjasoma? Achilia mbali Yoweri, Kiri na Mburundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…