Economic Diplomacy yetu ilivyokwenda mrama

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Kabla hamjaja na kuleta habari za mfu please bear the details. The man is dead and as a nation we have to move on. Enzi zake the world was a different place kulinganisha na sasa. So mwacheni apumzike.

Mengi yashazungumzwa kuhusu Cost benefit analysis ya balozi zetu za nje including baadhi ya mabalozi kuonekana kama vile ni wakorofi kwa sababu wamepishana kimawazo na wakuu Dar.


Sioni sababu kwa nini mtu kama Mengi au Bakhressa wakawa bado wanachechemea (in terms of Global scales) wakati tumezungukwa na countless landlocked countries. Sioni kwa nini mtu kama Mohammed Enterprises au OIL COM au hata yule bosi wa SCANDINAVIA na PEACOCK wasipewe vipaumbele kwa kusaidiwa na balozi zetu za nje kupitia vitengo kama TANZA TRADE ili kunyanyua viwanda vyetu vya ndani na kuuza nje pia

sababu nasema hivi soma hapa:

http://www.nytimes.com/2011/01/03/business/03wikileaks-boeing.html?_r=1


lakini inawezekana ikawa kazi zinafanyika ila ninachokisema ni kuwa kama MEMBE na Mandarins wake wako serious waweke DATA openly ili tuzichambue ina tunataka kujua vitu kama vile:

UBALOZI

NUMBER OF STAFF

BUDGET

EXPENDITURE

REPORT ZA WAKAGUZI

WHY WE SHOULD HAVE THE EMBASSY IN THAT PARTICULAR COUNTRY

MWISHO NA MUHIMU ZAIDI ZILE PERFORMANCE EVALUATION BAADA YA MKUTANO KATI YA RAIS NA MABALOZI SERENGETI ZIKO WAPI?

I think people deserve to know THESE THINGS and they will



I dont think kuattend trade fairs na kufungua matawi ya vyama na associations in what we Tax payers need...someni link hiyo hapo juu
 
Kwani kazi za mabalozi wa TZ ni nini? Sio wale watu waliostaafu ambao hawana cha kufanya na kwa vile ni marafiki basi njia moja wapo ya kuwatuliza ni kuwapa ubalozi...! Hebu angalia safu ya Mabalozi wengi ni wastaafu, ni political favour au ni watu ambao walishindikana serikalini so njia rahisi ni kuwapeleka mbali na nchi wa kuwapa ubalozi.

Mfano tu angalia balozi wa Japani, Balozi wa India, Balozi wa Swiss, Balozi wa Zimbabwe etc...! Mifano ipo mingi...
 
Yap Mhafidhina umenena. Badala ya kupeleka vijana wenye damu moto ambao wanajua wanachokifanya wewe unapeleka wazee wanaojichokea au waliangushwa kwenye kura za ccm au uchaguzi. umesahau bwana wetu Mapuri China badala ya kutuletea bidhaa zenye viwango wanatuletea rejects na yeye kimya anakula ulabu tu.
 
Back
Top Bottom