Ebu umiza kichwa kidogo?

Acha tu classmates wa primary wanashusha contena za kutosha na wanapost status😨
 

You are missing the point mkuu.

Ina maana mtu akisomea Utaalamu wa kutibu Mifugo, wewe unataka afuge ili aitibu mifugo yake?

Kwa kukwambia tu, Mfumo wa elimu hasa chuo ni Universal kwa vitu vingi ukiacha vichache vinavo kuja sasa(New tech ) ndo inachelewa kuja Africa.

Shida ya nchi za kiafrica ni uongozi, sera na uratibu.

Elimu tunaisingizia tu, Kuna vijana wengi sana hawajasoma bongo, wameaoma nje ya bongo lkn hata wakija hapa hawawezi kufanya maajabu.

Embu chukulia mfano, Mfugaji wa Ng'ombe morogoro anakosa soko la maziwa, lkn Nchi inaagiza maziwa kutoka nje. Hapo utasema nchi inaviongozi au Vichaa
 
Elimu pia ifupishwe.
Elimu ya Sekondar iwe miaka 4.
Mtoto akimaliza aingie kwenye fani na taaluma anayoipenda.
Kwa miaka 2 , 3 au 4 na akitoka hapo akiwa ana miaka 18+ awe anafanya kazi.

Kule kwao mtoto ana miaka 16 ana degree. Huku hadi 21+.

Mkuu kwa sasa hvi mtoto anaweza kuchagua, aende kusomea fani au White collar jobs after form 4.

Ni wajibu wa mzazi kumuelimisha vzuri mtoto faida na hasara za kila njia.

Japo tukitazama zaidi, walio somea fani ano ni choka mbaya tu, wana hela za kubadirisha mboga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…