Ebu tupia kauli yako kwa hii message!

Ebu tupia kauli yako kwa hii message!

KATASAN'KAZA

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
3,097
Reaction score
1,356
Je! Kuna ukweli wowote katka ujumbe huu hapa chini?
 

Attachments

  • 1419100517382.jpg
    1419100517382.jpg
    74.8 KB · Views: 674
Mie tabia ya kuingiliana kwenye mapenzi inaniudhi sanasana sana! Mara oh mfupii, mara mbaya mara utasikia havutii hana pesa. Yote yanini jamani watu wameshachaguana wakiwa na akili timamu wameridhia wawili tu wengine sijui wanawashwagwa nini.
 
Sawa, nimeona ila hii Escrow inanipa mawazo sana, ngoja nsubiri hotuba kesho yawezekana mkuu akatolea ufafanuzi hata hii hoja yako.
 
Yaani watu badala ya kujali issues zao wao wanafuatilia mambo ya watu
 
huhuhuhu nakupendaga saanaaa ww Hunyu napendaga tu kusoma comments zako
 
Siku hizi hayo mbwembwe tu..... Mimi lazima kifaa kiwe kizuri nisije kosa uzuri kimuonekano mpaka tabia, lol!
 
Eti mwanaume mfupi kama kashata za Magomeni.....!
 
Back
Top Bottom