Hebu tuambie: Ni mwanaume mwenye tabia zipi huwezi kuwa naye kwenye mahusiano?

Anaekunywa pombe, anaevuta sigara au bange au shisha, mchafu, mzinzi, asiemjua Mungu na aiseheshimu maadali mema, anaeropoka hovyooo

Bila kusahau mwanaume ambae ni mtoto wa mama, hata mkitofautiana kidogo anapuga simu kwao...niliwahi kuwa na boyfirend hata mkipishana kauli anampigia dada yake simu, siku ikafika nikajumlisha utoto wake, wivu wa kijinga, misimamo rigid na empty set in head nikamuachilia mbalii

Sijui atakua Wapi George....sijawahi kumuona since 2010 na hata nikimuona sitamsalimia aliniuzi sana mshenzi yule

hahahahahhahahahaha G alizingua
 
wanawake mnasahau hekima mlizoumbwa nazo.....ukitumia vema himaya ya moyo wako.......unaweza kumbadilisha mwanaume yeyote akawa the way uko unapeenda(mnapenda)....utii na heshima........huyo mvuta fegi na mvaa boksa ya kitenge aliekukaza........unaweza ukamuweka sawa....na mkapendana milele.......
Hamna kitu kigumu kama kumshape mtu mzima, labda aamue tu ye mwenyewe kubadilika na awe amekupenda kwa dhati otherwise hahaa utapata tabu sana.
 
....kubali au kataaa.....mapenzi huanza na urafiki....urafiki hujengwa na maneno matamu.....(sukari ya wanawake), but ukianza kumthamanisha....jua na umri unasonga....utawathamanisha wangapi??? kupenda kunatoka ndani dada.........utii na heshima........mwanaume ndie anapaswa kumpenda mwanamke.......mwanamke ni utii na heshima.......
 
Looh mbona kama umenichamba🤣

Ila kwa mahusiano ambayo mmeanza na urafiki au mmejenga urafiki kati yenu lazima muenjoy, tofauti na yale mmevamiana tu hata hamna chemistry kati yenu. Of course kila mtu akifanya wajibu wake vizuri kwa mwenza wake basi maisha lazima yawe mazuri.
Mume mpende mkeo na mke muheshimu mumeo.
 
Looh mbona kama umenichamba ........mtu mzima hachambwi anaambiwa ukweli....na ukweli utakuweka huru.......kanza jua pia.....mkiwa wapenzi hakikisha urafiki kati yenu unakuwapo.....hapo ndipo unaweza kumshape........sbb akipendeza point ni zako bidada.......ukimpikia vitamu vya mahabani keshakuwa nyara yako......vyote viko katika utii na heshima wa mwanamke........huwezi kumbadilisha in one day, or 2,3,4.....it take time....but unaona pale mnapokwenda........ila leo mmekutana,,,kesho mnadandiana.......keshokutwa unaaza analyse za toka kitandanni mpaka kwenye dudu....hamna kituuu hapo
 
Anaekunywa pombe, anaevuta sigara au bange au shisha, mchafu, mzinzi, asiemjua Mungu na aiseheshimu maadali mema, anaeropoka hovyooo

Bila kusahau mwanaume ambae ni mtoto wa mama, hata mkitofautiana kidogo anapuga simu kwao...niliwahi kuwa na boyfirend hata mkipishana kauli anampigia dada yake simu, siku ikafika nikajumlisha utoto wake, wivu wa kijinga, misimamo rigid na empty set in head nikamuachilia mbalii

Sijui atakua Wapi George....sijawahi kumuona since 2010 na hata nikimuona sitamsalimia aliniuzi sana mshenzi yule
[SUP]George umemisiwa huku[/SUP]
 
Looh mbona kama umenichamba ........mtu mzima hachambwi anaambiwa ukweli....na ukweli utakuweka huru.......kanza jua pia.....mkiwa wapenzi hakikisha urafiki kati yenu unakuwapo.....hapo ndipo unaweza kumshape........sbb akipendeza point ni zako bidada.......ukimpikia vitamu vya mahabani keshakuwa nyara yako......vyote viko katika utii na heshima wa mwanamke........huwezi kumbadilisha in one day, or 2,3,4.....it take time....but unaona pale mnapokwenda........ila leo mmekutana,,,kesho mnadandiana.......keshokutwa unaaza analyse za toka kitandanni mpaka kwenye dudu....hamna kituuu hapo
Asante kwa mafundisho mazuri, hakika nitayafata
 
Sema wadada wenye sifa ni wachache... Wanaume wengi ndyo wana masifa

Wapo wengi tu, niliwahi kufanya kazi sehemu kuna dada wa makamo tu, alikuwa anasifia familia yake kuanzia watoto wake walivyowazuri, wana akili, shule wanayosoma, gharama za shule yao, mume wake kazi anayofanya, maendeleo yao, yeye mwenyewe anavyotunza familia nk. hadi inakera kumsikiliza, na alikuwa akifanya hivyo pale kunapokuwa na ka-mjadala kanakohusu maisha, kwa wiki moja unaweza simuliwa vitu hivyo sio chini ya mara 2.
 
Huyo alikua hatar.. kibaya zaid wapenda sifa huwa waongeaji mno na kujichanganya yan mtu anasahau km alishakusimulia anarudia story ile ile.. Mama angu nae ni muongeaji kwel Yan anaweza simulia kitu baada ya siku mbili anasahau km amekusimulia, anasimulia tena bas mm kila akinisimulia huwa najifanya ndyo mara ya kwanza kusikia hiyo yan nashangaa kabisa kumbe imerudiwa mara kumi huko
 
Back
Top Bottom