Ebu tuambie ni mwanaume mwenye tabia zip uwezi kuwa naye kwenye mahusiano?

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
25,284
2,000
Hahaa noo sipendi mtu serious kabisa napenda mtu mcheshi maana me mwenyewe sijuagi kuwa serious😀

Ila hapo comfortable nilimaanisha yule ambaye atanikosha kwa vigezo vyake nitakavyoona vinanifaa no matter wengine wanamuonaje.
Unajua mapenzi bana unaweza sema nataka wa hivi half akatokea mwingine ana vigezo vyake tofauti na mkapendana mkaishi vizuri.
Hahahah looks like a good patner has come my way 😍!
No doubt, mapenzi ya kuwa huru na mtu wako ndio matam. Mie pia mtu wa masihara flani...i like flirting kidogo ila ukinizingua nakuwa mtu mmbad kama mwaisa 🤣🤣🤣
 
Saint Anne

JF-Expert Member
Aug 19, 2018
24,111
2,000
Anaekunywa pombe, anaevuta sigara au bange au shisha, mchafu, mzinzi, asiemjua Mungu na aiseheshimu maadali mema, anaeropoka hovyooo

Bila kusahau mwanaume ambae ni mtoto wa mama, hata mkitofautiana kidogo anapuga simu kwao...niliwahi kuwa na boyfirend hata mkipishana kauli anampigia dada yake simu, siku ikafika nikajumlisha utoto wake, wivu wa kijinga, misimamo rigid na empty set in head nikamuachilia mbalii

Sijui atakua Wapi George....sijawahi kumuona since 2010 na hata nikimuona sitamsalimia aliniuzi sana mshenzi yule
Aisee
 
Brinna_Mercy

Member
Sep 11, 2020
14
75
Hahahah looks like a good patner has come my way !
No doubt, mapenzi ya kuwa huru na mtu wako ndio matam. Mie pia mtu wa masihara flani...i like flirting kidogo ila ukinizingua nakuwa mtu mmbad kama mwaisa
Ahahahah et mtu mbad... Hivi kuna mahusiano gani kati ya mwanaume na flirting maana unaweza kuta mwanaume ana girlfriend wake kabisa lakini kutwa kuflirt na wanawake wengine na ukimuuliza anasema anapenda tu na siyo kwamba ana lengo la kuwatafuna..
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
25,284
2,000
Ahahahah et mtu mbad... Hivi kuna mahusiano gani kati ya mwanaume na flirting maana unaweza kuta mwanaume ana girlfriend wake kabisa lakini kutwa kuflirt na wanawake wengine na ukimuuliza anasema anapenda tu na siyo kwamba ana lengo la kuwatafuna..
Unajua hata kama hamna vita ila ni lazima kusafisha safisha bunduki kila asubuhi na kufanya mazoezi ya kupasha viungo ili kuwa tayari tayari 😝😝😝 na lolote!

Ni swala la kupiga tizi tu na kunoa skills zetu, ila kimsingi sio lazima ule kila unae flirt nae.
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
25,284
2,000
Tufanye kweli nini, I promise sitakuzingua😜

Userious sana kwenye mapenzi sio. Raha umpate yule mnayeendana vitu vingi ili msiboane
😍Wow...njoo kwa board room for futher talk.

Anyways, uko sahihi kabisa, mapenzi yanatakiwa yawe based kwenye ushikaji na hivyo ndio namna bora sana ya kuwa successful katika mahusiano.

Hivi Unajua ni ngumu marafiki kuchokana eti thru thick n thin. Michelle & Obama watu wanawatamania ila ndio vile hawaelewi key 😝!
 
Lenie

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
2,806
2,000
😍Wow...njoo kwa board room for futher talk.

Anyways, uko sahihi kabisa, mapenzi yanatakiwa yawe based kwenye ushikaji na hivyo ndio namna bora sana ya kuwa successful katika mahusiano.

Hivi Unajua ni ngumu marafiki kuchokana eti thru thick n thin. Michelle & Obama watu wanawatamania ila ndio vile hawaelewi key 😝!
Nakujaaa chap😍
Hata mkikwazana inakua rahisi kusolve, kuliko mahusiano yale mnaishi ndani kama mtu na polisi full kuogopana na kufanyiana ubabe. Staki kabisa mtu wa hivyo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom