Hance Mbuya
Member
- Apr 11, 2012
- 45
- 12
dharau za wanawake pale wanapokutana na mtu mwenye kuwazidi wapenzi wao hela.aisee, kwahiyo sababu ya mapenzi kuisha ni 'dharau za wanawake' eeh.
Hapo napo ni pakuzingatia!ni kweli unayosema ndugu lakini unajua kaika mahusiano jaribu kutengeneza mazingira ya kutozoeana ili ahadi zenu zitimie.
binti wa kuoa utamwona ata mwonekano wake, yupo simple, anafahamu maisha i mean hayupo after pesa sana.
tatizo ninyi manatongoza kwa kupitia vitu ka pesa, gari na mali nyingine hamtafuti mapenzi ya kweli ndiyo sababu ya kuchokana..
kumbuka pesa zinaisha au kupungua, gari linachoka, akija mwenye zuri zaidi nitafuata.
acheni kutongoza kwa kutumia vitu ili mpate mapenzi ya kweli,....
dharau za wanawake pale wanapokutana na mtu mwenye kuwazidi wapenzi wao hela.
He is very specific, naona kuna kitu kimemkaa rohoni amekosa pa kukitemea...
Mrs lyimo nimekupata nitazingatia ulichosema,ila inauma hasa pale unamuwaza asie na mpango na ww!!daah
pole kwa masaibu...
nilimiss hiyo sababu. LOL
Mleta mada, pole sana; yaani sometimes sisi wanawake sijui tukoje tu. Ila usijali, waliosema akunyimaye kunde .......si wajinga. one day yes utapata mdada ambaye atakuona wewe hizo ulizonazo ni NYINGI.
Poa ila inachukua muda kumpata kama yule!!
Vipi ndugu umeongea kwa uchunguuu,nani kakudharau mpaka umevunja ahadiii?pole mwaya
Kwahiyo unataka kama yule exactly, l mean na kupenda kwake wenye hela zaidi au????????