Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,637
- 29,710
C'ssy usiniache mwenyewe mie naogopa..!!😀Lol ngoja nigeuze mdogo wangu...
C'ssy usiniache mwenyewe mie naogopa..!!😀Lol ngoja nigeuze mdogo wangu...
Penye mkubwa huwa hapaharibiki Jambo.!Ngoja niwaache aisee,nahisi nimearibu kweli 😢
Duh muingereza akisoma hapa atasema,'hii lugha inafanana sana na kiingereza'.Thanks you to very many much. Very very much kwakweli, now a this ask is heavy you want human like me to answer for you. You human isn't understanding this question good.
I am come back later
C'ssy usiniache mwenyewe mie naogopa..!!😀
Hahahaha..!! Nice.!!Aisee yani hiyo phrase "me naogopa" imenifanya ni-imagine vitu vingi[emoji848]
Napenda mtoto wa kike azungumze kitoto...hata akiwa mbibi mimi kwangu ni perfect[emoji23]