mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 771
WANAUME kwenye Semina Wakaulizwa! Mara Ya Mwisho kumwambia Mkeo UNAMPENDA Ni Lini? Wengi Wakasema Leo Asubuhi. MWEZESHAJI Akawaambia Kila Mtu Sasa Hv Amwandikie Mkewe Msg Amwambie "NAKUPENDA MKE WANGU" Halafu Badilishaneni Simu kila Mmoja Asome Majibu Ya Mwenzake!. MAJIBU:-
1. Unaota Au?
2. Umekumbwa Na Nini?
3. ???!!!!
4. Utanieleza Hii Sms Ulikuwa Unatuma Kwa Nani?
5. Leo Sikusamehi kuna Jambo Tu.
6. Huyo Uliye Nae Ndo Kakwambia Unitumie Hii Sms?
7.Sema Unachotaka.
8.Leo Hunipati Ng'o!
9. Nani mwenzangu??
1. Unaota Au?
2. Umekumbwa Na Nini?
3. ???!!!!
4. Utanieleza Hii Sms Ulikuwa Unatuma Kwa Nani?
5. Leo Sikusamehi kuna Jambo Tu.
6. Huyo Uliye Nae Ndo Kakwambia Unitumie Hii Sms?
7.Sema Unachotaka.
8.Leo Hunipati Ng'o!
9. Nani mwenzangu??