Hivi kweli wadau katika vuguvugu hili la mageuzi kuna mwananchi atapigia kura Mbunge wa CHADEMA halafu kura ya Urais apigie CCM? ndiyo inawezekana lakini siyo kwa idadi kubwa kama ambayo NEC wanatutangazia,WIZI MTUPU, lakini nafikiri nakala za kura za kwenye vituo vya kupigia kura zipo, CHADEMA wawe wanazijumlisha for comparison.
Tutawashika tu subirini ndugu zangu.
Sasa hao CHADEMA (namaanisha viongozi wetu) si wakutane mara moja na waongee na wahandishi wa habari kama hayo matokeo ni tofauti? Naamini wanazo nakala kutoka kila kituo na jimbo. Otherwise sijui kama watanzania watapiga tena kura 2015.
Iko siku hata kama sio leo wataumbuka tu kwa jambo walilolifanya its utterly nonsense
Ni kweli kabisa nakubaliana nawe. I does not make sense. Mengi ya tunayoona hivi sasa (kwa maana ya matokeo) ni kutokana na hekaheka za Dr Slaa.