Hivi kweli wadau katika vuguvugu hili la mageuzi kuna mwananchi atapigia kura Mbunge wa CHADEMA halafu kura ya Urais apigie CCM? ndiyo inawezekana lakini siyo kwa idadi kubwa kama ambayo NEC wanatutangazia,WIZI MTUPU, lakini nafikiri nakala za kura za kwenye vituo vya kupigia kura zipo, CHADEMA wawe wanazijumlisha for comparison.