Elections 2010 Ebu ona huu usanii, Kura CHADEMA, urais CCM, nonsesnse

Jack Beur

JF-Expert Member
Feb 26, 2010
222
246
Hivi kweli wadau katika vuguvugu hili la mageuzi kuna mwananchi atapigia kura Mbunge wa CHADEMA halafu kura ya Urais apigie CCM? ndiyo inawezekana lakini siyo kwa idadi kubwa kama ambayo NEC wanatutangazia,WIZI MTUPU, lakini nafikiri nakala za kura za kwenye vituo vya kupigia kura zipo, CHADEMA wawe wanazijumlisha for comparison.
 
Where exactly are you making reference? Hii itatusaidia kukagua haraka haraka.
 
've said that before and 'm happy ndugu nawewe umeona. jk analazimisha kututawala. Utawala wamabavu na wizi hautadum kamwe. Mwisho wake ataumbuka
 
Reference ni matokeo yanayotangazwa na NEC, next session saa 11.ITV na TBC wanarusha live kasikilize wewe tomaso usiyeamini
 
Sasa hao CHADEMA (namaanisha viongozi wetu) si wakutane mara moja na waongee na wahandishi wa habari kama hayo matokeo ni tofauti? Naamini wanazo nakala kutoka kila kituo na jimbo. Otherwise sijui kama watanzania watapiga tena kura 2015.
 
Iko siku hata kama sio leo wataumbuka tu kwa jambo walilolifanya its utterly nonsense
 
Usihofu 2015 watapiga sana kura. Unless Kikwete na Makamba wake wanajirekebisha na kuirudisha CCM kwenye mstari unaostahili usio na waa la udini na kukumbatia ufisadi ushindi wa CCM wa mwaka huu utakuwa ndio mwisho!
 
Inawezekana,urais nimechagua CCM ubunge CHADEMA,naangalia mtu mwenye sera makini,si chama!
 
Iko siku hata kama sio leo wataumbuka tu kwa jambo walilolifanya its utterly nonsense

Brother, let NEC finish their show. Nafikiri CHADEMA inaangaliwa mchezo huo wa kuigiza halafu mwishoni watajibu.

Usije shangaa watakapotangaza kuwa mwaka huu hakukuwa na uchaguzi!!!!!!!
 
Kaka ukiangalia matokeo ya mikoa ya lindi na mtwara na dodoma unapata kichafuchefu kabisa. yani watu wamelala kabisa.
Last night nilikua naangalia matokeo ya urais ktk vituo vya kariakoo yani huwezi kuamini CHADEMA walikua wanapata kua 10, 12, 15.THEN IMAGINE chadema hao ndio wamechukua majimbo ya ubungo, kawe na almost segerea.
WIZI MTUPU
 
Ni kweli kabisa nakubaliana nawe. I does not make sense. Mengi ya tunayoona hivi sasa (kwa maana ya matokeo) ni kutokana na hekaheka za Dr Slaa.
 
HAWAWEZI kusema hapakua na uchaguzi maana maswahiba esp.masha,marmo,mramba wamepunguzwa kidogo si haba.
mi nataka 2005 ccm wamsimamishe Lowasa
 
hekaheka za slaa ndio imetuletea wabunge vijana. imagine ilemela mh.dialo aliangushwa na binti wa miaka 25. yote ni kazi ya dr.
 
Ni kweli kabisa nakubaliana nawe. I does not make sense. Mengi ya tunayoona hivi sasa (kwa maana ya matokeo) ni kutokana na hekaheka za Dr Slaa.

Mo- Town, nakubaliana na wewe je kura anazopata DR. Slaa Je kweli watanzania wamemnyima kura au ni uchakachuaji napenda nikuhakikishie kwamba utasikia jambo ambalo litakalo tokea kati ya sasa mpaka 2015. mm naamini Mungu ndiye atupaye viongozi kwa haki na kama mtu ataingia kwa hila HATAISHI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Na mimi nilishasema tena. Difference za kura za urais Ubungo na Kawe ni changa la macho. Nina wasiwasi sana na Shinyanga Mjini. Nadhani Chadema ilipata ushindi ukachakachuliwa.
 
"Jack Beur

Hivi kweli wadau katika vuguvugu hili la mageuzi kuna mwananchi atapigia kura Mbunge wa CHADEMA halafu kura ya Urais apigie CCM? ndiyo inawezekana lakini siyo kwa idadi kubwa kama ambayo NEC wanatutangazia,WIZI MTUPU, lakini nafikiri nakala za kura za kwenye vituo vya kupigia kura zipo, CHADEMA wawe wanazijumlisha for comparison."

Mkuu hiyo ndio demokrasia. Mbona Bukoba mbunge katoka CCM wakati kwenye urais Slaa kaongoza. Hii ina maanisha watu wana imani na chama ila wameamua kukiadhibu chama kwa kusimamisha wabunge wasiowataka.
 
Tell you what people?
kwenye zile karatasi za kupigia kura, sehemu ya chadema hata kama kungewekwa jiwe na sio picha ya Dr. Slaa....WATU WANGECHAGUA CHADEMA
this difference is being fabricared brodas en sistos
people are thaaaat tired.
 
Jamani isionekane kwamba ssiem inaadhibiwa na wananchi,hapana ndio kinastahili hivyo kwani sasa hivi hakina dira wala mwelekeo kitatupeleka pabaya, mtu anitajie kiongozi imara leo ssiem.mkwere huyu angalia maswahiba zake wote uwaone uwatathmini hata majambazi yana nafuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom