Waondoe wampelekee mama ako?? n taarfa ngp nyet watu huanza kuzipata humu? tuliza mpwitoModerators taarifa zingine vizuri tuzipate kupitia wizara ya afya.Sio vizuri kugeuza maswala mazito.kama haya kuyatumia kisiasa au kuyafanya public before taarifa official.Moderators ondoeni huu uzi
You are the one who has introduced a political motive into it.Moderators taarifa zingine vizuri tuzipate kupitia wizara ya afya.Sio vizuri kugeuza maswala mazito.kama haya kuyatumia kisiasa au kuyafanya public before taarifa official.Moderators ondoeni huu uzi
Nafuu utoe alert kwa ugonjwa ambao haupo kwa sababu hakuna hasara ya maisha. Pengine utapata hasara ya watalii ambao wataogopa kuja.Moderators taarifa zingine vizuri tuzipate kupitia wizara ya afya.Sio vizuri kugeuza maswala mazito.kama haya kuyatumia kisiasa au kuyafanya public before taarifa official.Moderators ondoeni huu uzi
Huu ugonjwa haufichiki. Ebola isikieni tu. Ikifika Tanzania hata kuandika hamtaandika maana mtakosa nguvu za kuandika. Kwanza ungekuwepo watu wangetengwa hilo eneo alopatikana mgonjwa.Huu ugonjwa usikieni tu.Kama upo kweli kwanini Serikali inaficha!? Kuuweka ukweli hadharani watu wataanza kuchukua tahadhari mbali mbali husika na Serikali pia ili kuweza kuchukua hatua za kujizatiti ili kuukabili ugonjwa huu hatari sana na pia serikali kuanza kukusanya dawa husika.
Huu ugonjwa haufichiki. Ebola isikieni tu. Ikifika Tanzania hata kuandika hamtaandika maana mtakosa nguvu za kuandika. Kwanza ungekuwepo watu wangetengwa hilo eneo alopatikana mgonjwa.Huu ugonjwa usikieni tu.
Wanachotaka wao ni kusikia Ebola ipo. Nachoona atakachoongea kigogo ni mwiko kuprove wrong. Kigogo amekua kimambe saizi. Hata serikali ikija na sample za vipimo bado watabisha.Leo Mh Waziri wa Afya katoa taarifa ya serikali kwamba hakuna huo ugonjwa hapa nchini lakini naona makala ya hao jamaa inaonyesha kana kwamba serikali haijasema chochote. Waambie kwamba Serikali kupitia kwa Mh Ummy Mwalimu, Waziri wa Afya, amekanusa kuwepo kwa ugonjwa huo; sasa wanataka nini?
Unataka serikali iseme kuna Ebola hata kama hamna?serikali italiangamiza taifa kwa ujinga na usiri usio na maana, mficha maradhi mauti humuumbua, bila WHO kuwa na full access tumekwisha!
So tumuamini kigogo?Mbona hii nchi imekua ya kipumbavu hivi?Seriously unamuamini Waziri Ummy Mwalimu?
Yaani kukanusha kwa Ummy maana yake ameufukuza ugonjwa? Kumbuka hii ni Serikali inayochakachua takwimu ya chochote kile.
Upo nani kaumwa na kwa ushahid gani?Nafuu utoe alert kwa ugonjwa ambao haupo kwa sababu hakuna hasara ya maisha. Pengine utapata hasara ya watalii ambao wataogopa kuja.
On the contrary ugonjwa ukiwapo lakini wewe ukashindwa kutoa alert, ujue watu watakufa na maisha yao hayawezi kuwa recovered.
Ila Waziri wa Afya pamoja na kukataa kuwa hakuna ugonjwa wa Ebola ametoa tahadhari ya namna ya kujikinga. Sasa na nyinyi tumieni akili zenu, kama hakuna ugonjwa anatoa tahadharj ya nini?
I wish wewe unafuata kufa kwa Ebola, kisha ukiwa kuzimu utatuma Taarifa Lumumba juu ya uwepo wa ugonjwa huu TanzaniaHiyo no.kazi ya wizara Sio yako kujua upo Al la nk usijipe makukumu yasiyokuhusu
Kigogo akisema basi imekuwa kama taurati!! Jana Kigogo kawalaza watu macho wakisubiri Msigwa atoke na Prof!!Wanachotaka wao ni kusikia Ebola ipo. Nachoona atakachoongea kigogo ni mwiko kuprove wrong. Kigogo amekua kimambe saizi. Hata serikali ikija na sample za vipimo bado watabisha.
Moderators taarifa zingine vizuri tuzipate kupitia wizara ya afya.Sio vizuri kugeuza maswala mazito.kama haya kuyatumia kisiasa au kuyafanya public before taarifa official.Moderators ondoeni huu uzi
Waziri kusema hakuna EBOLA siyo ushahidi kuwa hakuna EBOLA
Tunataka Waziri aje na Paneli ya Madkatari waongee kitalamu, Watuonyeshe na ripoti za vipimo vya maabara, wathibitishe kuwa kweli EBOLA haipo ili baadae kama ipo tuweze kuwashitaki kwa kuvunja viapo vyao!
Kwa hali ya sasa simuamini Waziri maana kama ni matamko mawaziri tumeshaona mawaziri wa wizara mbalimbali wakitoa matamko amabayo wakati mwingine yanakuwa ya kisiasa.
Maelezo ya Waziri hayatoshi!
Serikali isilete Siasa kabisa katika hili suala hatutaielewa kabisa!
View attachment 1207655
View attachment 1207657
View attachment 1207675
View attachment 1207692
Umesema kuwa WANAWEZA KUWA WANAFICHA HUU UGONJWA. kauli yako tu inawalakini ndani yake. Sasa acha wataalam wa afya watoe taarifa km upo au laa. sio wewe mshika mafaili ya mbowe utake kutuaminisha upuuzi wako. Sasa ufichwe kwa faida gani? Mnataka kuleta taharuki ambazo sizo.Shukurani sana Mkuu. Hawa wahuni wanaweza kuwa wanaficha huu ugonjwa hadi ushamiri mikoa mbali mbali nchini ndiyo watausema ukweli wakati wengi watakuwa wameshaathirika.
Wanaficha taarifa kuhusu jambo hili KWA maslahi gani??Kinachonishinda kuelewa Ni kwa nini team CCM, Magu praise team wako very against hizi taarifa kuwafikia wananchi?
Ni kwanini eti Ruttashobolwa? Mbona siwaelewi. Je Ni za uongo?
Huu ugonjwa haufichiki. Ebola isikieni tu. Ikifika Tanzania hata kuandika hamtaandika maana mtakosa nguvu za kuandika. Kwanza ungekuwepo watu wangetengwa hilo eneo alopatikana mgonjwa.Huu ugonjwa usikieni tu.