Ebola imeingia Tanzania?

Hili Gonjwa likipiga mhanga wa kwanza ni uchumi kushuka

Safari za Madaladala zitakuwa limited, watu hawatakwenda makazini, Karantini zitakuwa kila kona
Sehemu zenye msongamano wa watu kama soko la Kariakoo yatafungwa
Yaani itakuwa mshikemshike
 
Dooh ili jambo likipuudhiwa maelfu ya raia watafariki asee.
 
Haipo. Tena tueendelee kudhibiti mipaka isiingie. Ebola ni hatari sana.
 
Reactions: BAK
Hujanielewa. Ebola inakuja kama mtu mwenye Ebola akiingia TZ.Hivyo ni muhimu kudhibiti mipaka ya Congo DRC Tanzania.
Kuna panya roads ngapi mipakani ambazo serikali iimeshindwa kudhibiti watu kuingia nchini?
Tuulize sisi wakazi wa pembezoni na mipakani tukueleze hali ya usalama wetu ambavyo ni Mungu tu atulindaye
 
Moderators taarifa zingine vizuri tuzipate kupitia wizara ya afya.Sio vizuri kugeuza maswala mazito.kama haya kuyatumia kisiasa au kuyafanya public before taarifa official.Moderators ondoeni huu uzi
Naomba nikushauri tulia Ndugu....wizara yako na wanasiasa hii ngoma hawaiwezi....wenye akili tumeshausoma mchezo siku nyingi....narudia kusema Mwenyezi Mungu utusaidie
 
Reactions: BAK

Wewe kichwa maji serikali imesha jibu kila kitu
 
Inasemekana kwa dsm hii kitu ipo.wananchi tujihadhari.Mungu atulinde
 
Tuwe makini tusije tukaumbuka! Utaalamu utangulie siasa kupata maamuzi sahihi. Huo ugonjwa ni hatari mnoo!
 
Seriously unamuamini Waziri Ummy Mwalimu?

Yaani kukanusha kwa Ummy maana yake ameufukuza ugonjwa? Kumbuka hii ni Serikali inayochakachua takwimu ya chochote kile.
 
Kama upo kweli kwanini Serikali inaficha!? Kuuweka ukweli hadharani watu wataanza kuchukua tahadhari mbali mbali husika na Serikali pia ili kuweza kuchukua hatua za kujizatiti ili kuukabili ugonjwa huu hatari sana na pia serikali kuanza kukusanya dawa husika.

Inasemekana kwa dsm hii kitu ipo.wananchi tujihadhari.Mungu atulinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…