una itumiaje iyo address na wewe upo tanzania... na gharama ya kujiunga na fedex na myus ni kiasi gani kwa mwezzi au mwaka... wewe flash ime kughalimu kiasi gani kuisafilisha tu hachana na kuinunua....
Hapa kidogo hatupo sawa!
Kodi ipo mkuu mie mwenyewe mhanga wa hili ila tu kuna baadhi ya items ndogondogo (simu, tablet, hhd nk) ndio hazina kodi.
Mzigo wangu nimetumiwa na hao hao myus kuna iterms 8 ndani ya package 1 upo tra mpak muda huu japo nishafanya clearence tayr nasubiri mzigo kutoka.
Kodi ni allmost 40% ya kila iterm kwenye package kilichonisaidia price ya kila iterm iliomo kwenye invoice sio actual purchased price zaidi ya hapo ningeumia mana mzigo wa 256 usd costum duties ni 271,000 tsh!!!!
Sishauri mtu kutumia fedex hawa jamaa hawafai na hawapo tayari kukusaidia chochote zaidi ya kukukandamiza

Bro naomba nchek kwa 0657667060 nkuulze baadh ya vtuHabari wakuu,
Natumai mu wazima. Kwanza nitoe shukrani zangu za dhati kwa mkuu chief mkwawa kwa ule uzi wake kuhusu how to activate PayPal account. Kwa mimi nilishajiunga paypal kitambo simce 2012 na ever since nimekua nikifanya online transactions marakwa mara. Wengi huogopa kwa kuhisi wanaweza tapeliwa ila this is my testimony na mzigo huu nimeupokea leo, nlinunua EBay.View attachment 570121View attachment 570122View attachment 570123View attachment 570124
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mzigo wangu kutoka Rochester umechukua siku 24 kunifikia wakati awali ilikuwa siku 10 na ukichelewa ni siku 15.kwa sasa kuna tatizo la mizigo kutoka USA kwa njia ya USPS kutofika Tanzania kabisa au huenda inafika ila hautufikii walengwa!
Nimeagiza mizigo kama miwili naishia kupewa refund baada ya kusubiri kitu hewa zaidi ya siku arobaini
Huu ni usumbufu mkubwa sana maana kati ya hizo bidhaa moja ilikua Adaptor ya Laptop maana yake hiyo laptop imeshindikana kutumika zaidi ya siku arobaini na package haijafika maana yake siwezi agiza tena itabidi ninunue hapa hapa bongo kwa gharama kubwa zaidi!
sijui wengine mna experience hicho kitu?
kwa sasa kuna tatizo la mizigo kutoka USA kwa njia ya USPS kutofika Tanzania kabisa au huenda inafika ila hautufikii walengwa!

Habari wakuu,
Natumai mu wazima. Kwanza nitoe shukrani zangu za dhati kwa mkuu chief mkwawa kwa ule uzi wake kuhusu how to activate PayPal account. Kwa mimi nilishajiunga paypal kitambo simce 2012 na ever since nimekua nikifanya online transactions marakwa mara. Wengi huogopa kwa kuhisi wanaweza tapeliwa ila this is my testimony na mzigo huu nimeupokea leo, nlinunua
Kuna tofauti ya kupokea malipo kutoka paypal kuja bank na kurudishiwa hela ambayo ushatuma!Mkuu hii refund unatumiwa kwa paypal au bank ac?
Mana naskia paypal huwezi hamisha pesa zako kwenda kwenye bank ac. Kwa hapa kwetu tz.
Refund inaweza kutumika kupurchase anything?
Swa mkuu japo sio busara sana kuweka waziwazi contact info zako mbele ya kadamnasi angalau basi ingekua chembaBro naomba nchek kwa 0657667060 nkuulze baadh ya vtu
nilinunua tshirt kutoka ebay,gharama yake ilikua tsh 23,000+free shipping,baada yakufanya malipo nilikuta nimekatwa 40000 kwenye bank account yangu,mbaya zaidi email nlioitumia haikua na jina langu kamili(fake name).baada ya kama wiki 3 niliwasiliana na seller akaniambia mzigo ushafika ila nlikua nimesafiri,nilivyorudi (baada ya mwezi mmoja baada ya mzigo kufika) nlienda posta na namba ya mzigo ambayo nilipewa baada tu kufanya malipo ya mzigo,varangati lilianza kwenye kutoa kitambulisho chenye jina ambalo linaendana na email niliotumia kununua mzigo ambapo nilitumia fake name,kidogo nifungwe, amna mtu aliyenielewa pale posta,nilionekana kama mwizi baada ya varangati kubwa nikapewa mzigo,kiufupi quality ya mzigo(tshirt) ilikua mbaya sanaa sijawai kuivaa mpaka leo ipo kabatini.kwaushauri, kwa upande wa mavazi ni bora unununue hapa bongo ambapo unaweza kuikagua kwa umakini zaidi bidhaa yako kabla haujainunua,nimeangalia youtube watu walionunua mavazi online wanavyolalamikia low quality ya mavazi walionunua kwa gharama kubwa.and that's my ebay testimony
Sent using Jamii Forums mobile app
True that mkuumwenyewe kuna suruali kwenye picha lilikua linaonekana la ukweli ila liliponifikia sikuwa na hamu kabisa!
kununua mavazi eBay ni majanga sometimes!
Mkuu huku hukununua bwanga la kareti lakini???mwenyewe kuna suruali kwenye picha lilikua linaonekana la ukweli ila liliponifikia sikuwa na hamu kabisa!
kununua mavazi eBay ni majanga sometimes!