"eBay shoping" WanaJF nataka kununua kitu online nataka msaada

mbasajohn

JF-Expert Member
Mar 14, 2009
247
39
kwakweli natamani sana kufanya shoping kwa hawa Jamaa " eBay" lakin sina uhakika kuhusu usalama wa account yangu pale nitakapoweka details zangu kwenye website yao, na vile vile sina uhakika kuhusu kama ntapata kitu nachokitaka pindi ntakaponunua.
Naombeni msaada kwa mtu yeyote ambaye alishanunua kitu kutoka eBay au amazon.
naomba kuwasilisha.
 
Fungua paypal account na sio kununua ebay moja kwa moja.Hivyo utakuwa ukiwalipa kupitia hiyo account yako ya paypal ambayo utakuwa umei link na card yako.(account yako)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom