EATV kwanini mnawaonesha Mashoga kwenye kituo chenu?

EATV kwanini mnawaonesha Mashoga kwenye kituo chenu?

Jana usiku kama sa 3 hivi niliona EATV wakirusha kipndi cha msanii wa filamu.Katika kipindi hicho alionekana punga ambaye amejitangaza kabisa anaitwa Aunt Bilali kama sikosei,akiwa amebinua mkiuno wake.Hawa watu wanaharibu maadili,why muwape airtime?

kila mtu anahaki ya kuishi hapa tz ndivyo katiba inasema hivo..
 
Kwa mrengo wa tz tukianza na avatar yako mkuu hio kitu unavyoitembeza hapo juu basi mrengo unakua sio ule tu.....na huu pia😉

ok mkuu nmekupata ni mrengooo wa kimombasa, zbar na kitanga pa1 sanaaaa
 
Jana usiku kama sa 3 hivi niliona EATV wakirusha kipndi cha msanii wa filamu.Katika kipindi hicho alionekana punga ambaye amejitangaza kabisa anaitwa Aunt Bilali kama sikosei,akiwa amebinua mkiuno wake.Hawa watu wanaharibu maadili,why muwape airtime?

Hii TV si hata kwa M7 inashika?
 
Jana usiku kama sa 3 hivi niliona EATV wakirusha kipndi cha msanii wa filamu.Katika kipindi hicho alionekana punga ambaye amejitangaza kabisa anaitwa Aunt Bilali kama sikosei,akiwa amebinua mkiuno wake.Hawa watu wanaharibu maadili,why muwape airtime?

Umefika wkt Mengi na vituo vyake afanye mabadiliko sasa bcoz hiyo eatv na hata hiyo itv hazina vipindi hata kimoja chenye maana zaidi ya taarifa za habari miaka ya 94 wkt itv inaanza kurusha matangazo tulifurahia vipindi vyake venye maadili ila kwa sasa ni siasa A to Z
 
Naomba uanzishe kampeni ya kupinga kila mara Joti wa "Ze Comedy" na wasanii wengine wa comedy bongo wanapoigiza sehemu ya wanawake, in drag.

Na kupiga marufuku nyimbo za Bichuka, Maneti,Gurumo, Marijani etc walioimba kama wanawake.

Just for the sake of consistency and being comprehensive.

Katika nchi yenye just kufuata mkumbo, hili sio rahisi kwa mleta mada kulifanya.
 
Last edited by a moderator:
Katika nchi yenye just kufuata mkumbo, hili sio rahisi kwa mleta mada kulifanya.

Ndiyo maana nasema this whole anti gay movement ni upuuzi na kufuata mkumbo kama unavyosema.

Hao hao wanaopinga gay rights ndio wa kwanza kushabikia hizi komedi na wanaimba mpaka falsetto za Bichuka.

Hata hawaelewi wapi wanataka kwenda.

Wamebaki kutumiwa na kina Mugabe / Museveni kama pawns in a geopolitical power chess game.
 
Jana usiku kama sa 3 hivi niliona EATV wakirusha kipndi cha msanii wa filamu.Katika kipindi hicho alionekana punga ambaye amejitangaza kabisa anaitwa Aunt Bilali kama sikosei,akiwa amebinua mkiuno wake.Hawa watu wanaharibu maadili,why muwape airtime?

Mimi nimeanza amini kuwa hawa jamaa ni walemavu, ni jinsia ya nne..... Please concentrate:
1. DUME
2. JIKE
3. DUME JIKE
4. JIKE DUME

Ningewawekea picha naogopa ban. Naona mna nielewe, ndio maana wanadai haki. Tujaribu kuwasikiliza.
 
hao eatv wenyewe saizi wameishiwa vipindi hamna vipindi vizuri, labda kile cha salama tu tofauti na zamani eatv ilikuwa moto bwana
 
Amwiimbia Bwana huku ni shoga,muimbaji wa Injili Gorge Barasa
 
Attachments

  • 1394304693205.jpg
    1394304693205.jpg
    90.9 KB · Views: 134
Back
Top Bottom