Ndio Uhuru na demokrasia wanayoitaka wao! Wanasahau "Uhuru bila mipaka ni utumwa"
haimaanishi vipindi vya teenagers ndio visiwe na maadili kamanda...ule ni ujingamleta mada unalokosa kubwa la kwanza;
hivi mwanaume unapata wapi huo muda wa kukaa na kuangalia tv; kibaya zaidi kipindi cha teenagers halafu ukikutana na mambo kama hayo unaanza kutusumbua hapa.
Hiyo mida watoto wanakuwa wameshalala imekuwaje ukabadili Chanel haraka? Watu wqzima hatuangalii vipindi vya vijanaNimeshangazwa na akili mbovu ya huyu sam missago anavyoendesha kipindi bila upeo. Anawahoji wadada wawili kuhusu mapenzi anasema eti vijana wanakula chakula bila chumvi ili wakalambe chumvi kwenye papuchi.
Hivi huyu dogo anakua kalewa au kavuta bange? Yeye anadhani kila mtu ni mvuta bangi na hana adabu kama yeye?
IPP media tafadhali tafadhali tuheshimiane sio kila mtu anaangalia TV bar na walevi.
Unapata wapi muda wa kuangalia kipindi Kama hiki....!!! Ohhhh My God.Nimeshangazwa na akili mbovu ya huyu sam missago anavyoendesha kipindi bila upeo. Anawahoji wadada wawili kuhusu mapenzi anasema eti vijana wanakula chakula bila chumvi ili wakalambe chumvi kwenye papuchi.
Hivi huyu dogo anakua kalewa au kavuta bange? Yeye anadhani kila mtu ni mvuta bangi na hana adabu kama yeye?
IPP media tafadhali tafadhali tuheshimiane sio kila mtu anaangalia TV bar na walevi.
LOL ..Aka angalie kipima joto ITV au chereko TBC
Upo sahihiKila stage na zama zake , hata wewe kuna kipindi ulikuwa unaonekana wa ajabu, hao wanaofatilia itafikia stage wataacha ni muda tu.
Kumbe tunao keleka na hizo swagger ni wengi sana. Kwakweli mm ikifika kipindi chake nahamisha channelNimeshangazwa na akili mbovu ya huyu sam missago anavyoendesha kipindi bila upeo. Anawahoji wadada wawili kuhusu mapenzi anasema eti vijana wanakula chakula bila chumvi ili wakalambe chumvi kwenye papuchi.
Hivi huyu dogo anakua kalewa au kavuta bange? Yeye anadhani kila mtu ni mvuta bangi na hana adabu kama yeye?
IPP media tafadhali tafadhali tuheshimiane sio kila mtu anaangalia TV bar na walevi.
DAH WE JAMAA UNA JIELEWAFriday night live na shilawadu.....wanaofuatilia/wapenzi wa vipindi hivi akili zao haziko Sawa! Mtu mwenye akili timamu huwezi angalia upuuzi kama huo!
Nimeshangazwa na akili mbovu ya huyu sam missago anavyoendesha kipindi bila upeo. Anawahoji wadada wawili kuhusu mapenzi anasema eti vijana wanakula chakula bila chumvi ili wakalambe chumvi kwenye papuchi.
Hivi huyu dogo anakua kalewa au kavuta bange? Yeye anadhani kila mtu ni mvuta bangi na hana adabu kama yeye?
IPP media tafadhali tafadhali tuheshimiane sio kila mtu anaangalia TV bar na walevi.
Hakuna upuuzi duniani kama SHILAWADUFriday night live na shilawadu.....wanaofuatilia/wapenzi wa vipindi hivi akili zao haziko Sawa! Mtu mwenye akili timamu huwezi angalia upuuzi kama huo!
Chumvi ni nini kwani?Nimeshangazwa na akili mbovu ya huyu sam missago anavyoendesha kipindi bila upeo. Anawahoji wadada wawili kuhusu mapenzi anasema eti vijana wanakula chakula bila chumvi ili wakalambe chumvi kwenye papuchi.
Hivi huyu dogo anakua kalewa au kavuta bange? Yeye anadhani kila mtu ni mvuta bangi na hana adabu kama yeye?
IPP media tafadhali tafadhali tuheshimiane sio kila mtu anaangalia TV bar na walevi.
Mkuu, una tatizo kubwa sana..Kajinga tu hako ka dogo,mshahara wenyewe laki tano NA mashati NA suruali za kuazima kwenye maduka ya nguo
Mkuu, umesahau nani ni mpenzi mkubwa wa hicho kipindi?Hakuna upuuzi duniani kama SHILAWADU
halafu wanaopenda zaidi kufuatilia ni watu wa hovyo hovyo tu.
SHILAWADU na Facebook ya wabongo ni sawa tu