U miongoni mwaoFriday night live na shilawadu.....wanaofuatilia/wapenzi wa vipindi hivi akili zao haziko Sawa! Mtu mwenye akili timamu huwezi angalia upuuzi kama huo!
Unachosema inawezekana kinaukweli maana inawezekana ndio kajua leo mambo ya kunyonyana chini ndo maana kila mtu anamuuliza ili ajifunze zaidi... Fa.la sana huyu jamaatatizo dogo unyamwezi mwingi ukute hata mbele hajawahi kwenda................halafu kama madem kawajulia ukubwani..nonsense
Anhaa..aliteleza mkuuHawezi kutukosea adabu kusema waziwazi na kupromote kwa madogo zetu
unajua Jose credibility yako kubwa aisee usijishushe..point is dogo ana zile kupenda dharirisha madem its as if anajua hatawapata baada ya kipindi nilicheki clip moja mara kawabambia ile kuforce hadi madem wanamkimbia..Yote haya kisa kuzama uvinza duuh!!! mkaushieni, wengine huku mnazama chumvini ila mnamponda jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
LOL ..Aka angalie kipima joto ITV au chereko TBCHicho kipindi kina watu wake,kama unahisi hakikufai, potezea.
Angalia Kipima Joto ITV
Mkuu ndio mambo ya usupstaa hayo aisee sometimes wanafanya vitu vya ajabu..lakini mkuu mbona sijawahi kusikia yeye kawadhalilisha mademuunajua Jose credibility yako kubwa aisee usijishushe..point is dogo ana zile kupenda dharirisha madem its as if anajua hatawapata baada ya kipindi nilicheki clip moja mara kawabambia ile kuforce hadi madem wanamkimbia..
Bora umemwambia mkuu... Unless naye uelewa wake mdogounajua Jose credibility yako kubwa aisee usijishushe..point is dogo ana zile kupenda dharirisha madem its as if anajua hatawapata baada ya kipindi nilicheki clip moja mara kawabambia ile kuforce hadi madem wanamkimbia..
hahaha jf raha sana kwa hiyo much know lazima awe amevuta bangi...mimi nilijua kigezo cha kuwa much know ni kupiga kitabu vya kutoshaJamaa anajifanyaga machinooo kweliii.... Afu ukute hata bangi haijui wala nini....
duuuh zile mbwembwe za utangazaji mkuu..tena ukizingatia ni kipindi cha burudani kwa hiyo madoido muhimu..ila sijasema maadili yasizingatiwetatizo dogo unyamwezi mwingi ukute hata mbele hajawahi kwenda................halafu kama madem kawajulia ukubwani..nonsense