EATV Friday Night Live tumieni lugha ya staha

EATV Friday Night Live tumieni lugha ya staha

Friday night live na shilawadu.....wanaofuatilia/wapenzi wa vipindi hivi akili zao haziko Sawa! Mtu mwenye akili timamu huwezi angalia upuuzi kama huo!
Rais kasema anaangaliaga na anapenda shilawadu....Kwa komenti yako io utashtakiwa kwa uchochezi[emoji28] [emoji28] [emoji28] ...
 
Mkuu kumbuka hiyo shilawadu unayoiponda hapa ilisifiwa na Tanzania namba 1
 
Kajinga tu hako ka dogo,mshahara wenyewe laki tano NA mashati NA suruali za kuazima kwenye maduka ya nguo
Hongera yako wewe unayepokea mil 20 kwani kuna siku alikuja kuuomba chakula kwako hadi upeze mshahara wako
 
Nimeshangazwa na akili mbovu ya huyu sam missago anavyoendesha kipindi bila upeo. Anawahoji wadada wawili kuhusu mapenzi anasema eti vijana wanakula chakula bila chumvi ili wakalambe chumvi kwenye papuchi.

Hivi huyu dogo anakua kalewa au kavuta bange? Yeye anadhani kila mtu ni mvuta bangi na hana adabu kama yeye?

IPP media tafadhali tafadhali tuheshimiane sio kila mtu anaangalia TV bar na walevi.
..aaah hicho kipindi ni cha mabachelor, mliooa na mna watoto wakubwa mmewekewa ITV
 
Back
Top Bottom