Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,196 Reaction score 11,623 Feb 9, 2013 #1 Wadau nahitaji sana ijulikanayo kama Matsushita Easy Photo printer je hapa jiji Dar naweza kuipata wapi na nibei gani? Nimejaribu kuzunguka sana hapa da sijafanikiwa kwa mdau amabaye anajua mahali naweza ipata nitathamaini sana.
Wadau nahitaji sana ijulikanayo kama Matsushita Easy Photo printer je hapa jiji Dar naweza kuipata wapi na nibei gani? Nimejaribu kuzunguka sana hapa da sijafanikiwa kwa mdau amabaye anajua mahali naweza ipata nitathamaini sana.