Easy Finance ni matapeli?

Wale waliokua mnawatete easy finance sasa ntakua mshajua ukweli na mumeaibika kimtindo!JF kweli sio ya kuupuzwa kamwe
 
Mkono wa JPM ni mrefu, matapeli wa aina hii ni saizi yao kuishi kama mashetani. Acha waisome namba, tumechoka
 
Sielewikwaninimnamkomalia kero aseme ukweli yeyekaamua kuwaonya asietaka aachekama yeye alikereka asisema jamani?mbona kuna ambao wamefaidika pia so ana hakimya kuwaalart kutokana na experience yake hutaki acha.Kwanina wewe si utaenda utapewa hizo terms and condition its up toyou to take it or leave it but lukily you have precaution.
 
Ndugu nafikiri huku kila mtu ana uhuru wakuongea anavyoperceive kitu so sioni kosa la huyo kero nshasema kilakitu kina negative na positive kwa kila mtu sousilazimishe aichukulie wewe unavoichukulia tena ni bora aseme vibaya ichunguzwe kulikokupakana mafutakwa mgongo wa chupa.kwani wakiwa wazuri kuna shida gani pia so sion haja ya kupanic.
 
Aisee! Hatimae leo wamepandishwa kizimbani. Baada ya kuwaibia sana raia wakawaida wakaona haitoshi wakaanza kuiibia na serikali.
 
jpm should also clean the house in the mining industry.
 
I really don't agree with your arguments based on the following reasons.
1) There is no point to proclaim that, these guys are genuine lenders. (To me these are thugs who take advantage of ignorant citizens)
2) There is no way (even in a free market economy) where a lender can hike an interest to that level. (they take advantage of our slacken regulatory Institutions like BoT). In any serious country with strong financial regulatory entities, nobody dares to do things like.
 
Yaani mwaka huu tangu January, ndio walipata wateja wengi zaidiiiiii wa wakopaji. Haswa hao wafanyakazi wa serikalini waliokuwa wamezoea kuiba pesa za wananchi na kutumbua ovyo...ni wanakopa hadi hakunaga...
 

Na Huyo operations manager alifukuzwa kazi NIC Bank kipindi bado inaitwa Savings and Finance Limited. Chanzo cha kufukuzwa kazi ni kuwezesha malipo ambayo hundi yake ilikuwa feki na inasadikika mwenye Hundi ni Isaac. Baada ya hapo Charles Kaniki akaajiliwa kwenye kampuni ya Isaac na kuwa operations manager.
 
Naomba kuuliza tu kwa yeyote anayemfahamu vizuri; je huyu Isaac Kasanga ana uhusiano wowote na Mathew Kasanga?
 
Duuuh amepeta sana Kassanga huko nyumà,sasa kwa Magu kila jiwe litapangwa upya.Salute JPM
 
Niliwatetea kwa wizi uliowatia hatiani? Acha kupindisha maneno hata siku moja siwezi kutetea mwizi kama wameiba wanastahili kukamatwa na wasipewe dhamana.

BAK uliokuwa unawatetea wametiwa nguvuni na usiyempenda Magufuli teh teh teh
 

WomenOfsubstance Na wakuu wengine wanaowaunga mkono EF.Mkuu lazydog ndio anatuelimisha kuhusu EF sio sehemu ya kuomba mkopo.Hawa EF ndio kwanza nimewasikia.Kwa dhati nawashukuru Mtoa mada Na lazydog Kwa kutuelimisha.
Asanteni Kwa UZALENDO wenu
 
Hivi mliisha piga hesabu makampuni ya simu yanacharge % ngapi wakikukopesha ( Timiza na mpewa)? Au kwa sababu wanatoa hela kidogo kwenye tune ya 100,000 hata wakikuchaji sana hujali...

Mkuu iweke hiyo % ya makampuni ya simu
Tuelimike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…