Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Ahahahahahahaaaaaaa kajamaa kashenzi sana hako
Jina halijatajwa bure mkuu!!Usilitaje Jina lake bure!
Utani wa kulihusisha Jina la Mungu huwa unanikwaza!Jina halijatajwa bure mkuu!!
Siwezi kubisha au kupingana na imani ya mtu! Ila nadhan kwa maana yako hapo litakuwa limetajwa bure!Utani wa kulihusisha Jina la Mungu huwa unanikwaza!