East Afrika Hotel-Arusha

Juzi mama Samia kaenda kufungua hii facility brand new ya UN huko Laki-Laki Arusha kaa ukiota ndoto za mchana
 
Maihail ni consultant(African focus) kweli ila imechukuliwa na yule mwenye gold crest mwanza Mathias Manga ambae alikua ana jenga platinum hotel Arusha...jama ana deal na mambo ya migodi
 
Kwa muonekano unaona Hyatt inakamilika lini?
 
Wikipedia?????!!!!!! Hebu acha kujiaibisha mkuu na viji source vya ku edit mtu yeyote mda wowote anaotaka.
Sio kila kitu unaweza kuedit Wikipedia na vinavyoeditiwa vinajulikana tofauti na official article kama huo ukweli mchungu.
 
Sio kila kitu unaweza kuedit Wikipedia na vinavyoeditiwa vinajulikana tofauti na official article kama huo ukweli mchungu.
To cutt it short.. Mwanza will maintain to be the second largest city and Arusha will maintain to be East Africa's diplomatic capital. God bless Tanzania, Gos bless Arusha and Mwanza.
By the way Arsenal 1:0 Westham. Enjoy
 
Wenzako kina slowly wanao ishi hapo Kona ya Nyegezi walijaribu dandia Treni Ya Arusha kwa mbele wakaishia kuvunjika...
 
Hilo jengo linamilikiwa na PPF naona jamaa wa gold crest mwanza Mathias Erasto ameona Arusha ipo potential kubwa huenda ndio maandalizi ya kuipiga solex Ile ya mwanza.
Ile ya mwanza inabiashara hawezi kuacha istoshe iliwekeza hela nyingi sana kuna fununu kua bei ya pango zimepunguzwa ndio mana akachukua eastafrica
 
Ile ya mwanza inabiashara hawezi kuacha istoshe iliwekeza hela nyingi sana kuna fununu kua bei ya pango zimepunguzwa ndio mana akachukua eastafrica
Daah afu Gold Crest ile ya Mwanza walikua wanazusha ni ya mamvi,maisha haya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…